Kwanini Unaamini Mungu yupo?


Mkuu japo kuna majibu tosha. Soma Big Bang theory, super nova blast, nebura, black hole na black matter. utajua Sayari na Nyota(Jua) zinazalishwaje na zina kufaje. NASA wana probe zao anga za juu na hubble periscope kamera kubwa sana inaangalia anga za mbali.

Na kuna uwezekano mkubwa kuna nyota zenye sayari inliyo karibu mazingira sawa na dunia. hivyo kuwa na uwezo wa kuhifazi uhai.

Chandra Peers into a Nurturing Cloud
 
Duuuuhhh Mkuu ,,, ungejua Mechanism ya upumuaji inavyofanya kazi ,,wala usingeuliza kwann unaamin Mungu upo.
 
Mkuu eiyer

Tuweke wazi hapa mantiki hiyo,binafsi itanisaidia

Shukran

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Niliposema mantiki nilimaanisha logic kwa Kiingereza....

Mtu yoyote anayetafakari kwa kiasi kidogo tu hawezi kabisa kufikiria kukubali vitu kuwepo tu hivi hivi bila mwanzilishi....

Dunia na ulimwengu kwa ujumla wake una kanuni ambazo ndiyo zinatufanya hata hapa kupiga makelele kuwa hakuna Mungu.Hizi kanuni zote ambazo ziko imara hivyo hivyo miaka yote na ambazo tunazitumia,kimantiki haziwezekaniki kuwepo tu hivi hivi....

Yaani ni mtu mwenye malengo hasi tu na uwepo wa muwekaji wa kanuni hizi atakataa uwepo wa muwekaji....

Inashangaza sana mtu anarudi kutoka nyumbani anakuta mlango tena uliotengenezwa na binadamu upo wazi wakati asubuhi aliufunga aanze kutafiti aliyeufungua na asiingie ndani na kuendelea na mambo yake kama kawaida akiamini kuwa mlango ulijifungua wenyewe,halafu mtu huyo huyo anaamini ulimwengu huu mkubwa namna hii na kanuni zake zote za kustaajabisha uwepo tu bila aliyeweka yote haya.....

Vitu vingine ni vya kutaajabisha sana....
 
Mkuu
Upo sahihi,inashangaza wanasayansi huiga hutengeneza vitu kwa kuiga viumbe hai,lakini wanakataa kuwepo kwa original designer

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Ungejiuliza kwanini ulijikuta unatumia jina unalotumia na haujalikataa? Au kwanini hujiulizi ilikuwaje ukazaliwa mwafrica na siyo ulaya, au kwanini kwenu na siyo familia ya kwa jirani..???

Swali la kujiuliza ni kwanini useme Mungu? hayupo ukipata jibu hili ukipata utajijibu swali lsko.
 
Viumbe wengine!!!kina nani hao? Me najua dunia ndio sayari inayowezesha viumbe kuishi sababu kuna uhai. Hao viumbe wengine mi siwajui zaidi ya kusoma dhana za kufikirika, Hivyo swali lako ni imagination na unaweza kujijibu kwa kuimagine
Bila geography ungejua kwamba dunia ndo sayari pekee ambyo watu wanaishi?mnaamini wansoamini Mungu wamekalilishwa wkt na nyie mmekalilishwa..

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Mungu yupo, anae kataa kuwa mungu hayupo ana matatizo sio bure

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu
Upo sahihi,inashangaza wanasayansi huiga hutengeneza vitu kwa kuiga viumbe hai,lakini wanakataa kuwepo kwa original designer

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Nani aliyeumba uyo original designer?
Kama unauliza chanzo chetu ninini, basi jiulize na chanzo cha huyo mungu ninini!!

Ukisema mungu hana chanzo, bado una maswali zaidi ya bilion moja, ambayo hutopata majibu!!
 
Nani aliyeumba uyo original designer?
Kama unauliza chanzo chetu ninini, basi jiulize na chanzo cha huyo mungu ninini!!

Ukisema mungu hana chanzo, bado una maswali zaidi ya bilion moja, ambayo hutopata majibu!!
Science still can't explain why living things die , why a dead body can't be brought into life again while some organs in a fresh dead body can be transplanted into a living body and continue to function as usual.., Absolutely there are several things beyond science!

Sent from my itel it1550 using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kuamini kama mungu yupo jiulize kwann aliweka sheria ili tutakapo zivunja tuhukumiwe? Na hukumu inakuja baada ya kifo? Nakwann hakuna aliekufa akarudi kutueleza Hali iko vipi huko

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
mfumo mzima wa mwili wa binaadamu unanifanya niamini kwamba kuna architect aliyeuunda,its far too complex and sophieticated to be a result of chance.
 
Kesho naendelea...

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Attache uko fit sana asee...

Kuna vitu umenifungua ..Barikiwa

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Coz my intuition tells me that.
 
Umevurugwa wewe. Hakuna swali lenye mashiko umeuliza hapo. Pumba tupu
 
Hiyo simu unayotumia kuandika ujumbe ina mwenyewe haikutokea bahat mbaya ivoivo sisi binadamu na vitu vyote vinavyonekana na visivo onekana kuna aliyetuweka kwa mazumuni ya kumsifu yeye hatupo dunian kwa bahat mbaya .Tuache kupotoshana Mwenyezi Mungu amejaa tele ila ni nwingi was rehema ndo maana umeandika upuuz wako akakuacha . Au wewe unadhan unejiweka mweyewe huku dunian omba Msaada tuelimishane hapo ulipofika inaonekana ndo mwisho wa mawazo yako ila kwa Mwenyez Mungu kwake icho unachowaza labda ni chin ya sifuri

Mungu pamoja nasi
 
Ukitaka kuamini kama mungu yupo jiulize kwann aliweka sheria ili tutakapo zivunja tuhukumiwe? Na hukumu inakuja baada ya kifo? Nakwann hakuna aliekufa akarudi kutueleza Hali iko vipi huko

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
sheria hazijawekwa na mungu, zimewekwa na binadam
Vipi ndugu, mbona maswali mepesi hivyoi?
 

Umeshawahi kushindana gumbo lako na kujizuwia usinye au usikojoe?
 
Mleta huu uzi shukuru tu TCRA,vingenevyo ungetafuta pakutokea jibu ambalo ningekupa,,
Vipi wewe uulizwea swala
WEWE NA BABA YAKO
NI NANI MKUBWA?
Hapo utajibuje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…