doup
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 2,706
- 2,861
Ukiangalia jinsi mambo yalivyo kwa undani,kuhusu miti,wadudu,wanyama,ndege,binadamu,bahari,anga,upepo,madini nk...l
Mana mpaka leo...watu wa dini hawajui Mungu/Allah alitoka wapi,lakini pia wanasayansi nao hawajui chanzo cha sayari na nyota na viumbe vingine.
Kwa ufupi mpaka sasa hakuna taarifa sahihi kuhusu Mungu na Dunia
Mkuu japo kuna majibu tosha. Soma Big Bang theory, super nova blast, nebura, black hole na black matter. utajua Sayari na Nyota(Jua) zinazalishwaje na zina kufaje. NASA wana probe zao anga za juu na hubble periscope kamera kubwa sana inaangalia anga za mbali.
Na kuna uwezekano mkubwa kuna nyota zenye sayari inliyo karibu mazingira sawa na dunia. hivyo kuwa na uwezo wa kuhifazi uhai.
Chandra Peers into a Nurturing Cloud