Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Umegundua nini hata ukaamua kusita na kutoendelea kabisa kuchangia mpango huo wa chadema wa tone tone?
ni kwasababu ya kufichwa kwa taarifa za makusanyo?
au ni kwasababu ya matumizi makubwa ya kificho ya fedha za chama kwa viongozi waandamizi wapya chadema taifa?
Je,
ni kwasababu umeona hakuna haja ya kuchangia chama, kwakua chadema imejitenga kabisa na kutojishughulisha na shughuli za kisiasa ikiwa ni pamoja na uchaguzi mkuu, na kwahivyo ukaona hakuna maana ya kuendelea kuchangia chama ambacho hakina kazi wala malengo ya kushika dola?
Na je, kwasasa,
una mpango wa kuendelea kuiunga mkono chadema iliyoachana kabisa na masuala ya kisiasa na kujikita kwenye masuala ya kutafuta pesa za matumizi ya viongozi waandamizi wa kitaifa, chama na familia zao?
Mungu Ibariki Tanzania