Umegundua nini hata ukaamua kusita na kutoendelea kabisa kuchangia mpango huo wa chadema wa tone tone?
ni kwasababu ya kufichwa kwa taarifa za makusanyo?
au ni kwasababu ya matumizi makubwa ya kificho ya fedha za chama kwa viongozi waandamizi wapya chadema taifa?
Je,
ni kwasababu umeona hakuna haja ya kuchangia chama, kwakua chadema imejitenga kabisa na kutojishughulisha na shughuli za kisiasa ikiwa ni pamoja na uchaguzi mkuu, na kwahivyo ukaona hakuna maana ya kuendelea kuchangia chama ambacho hakina kazi wala malengo ya kushika dola?
Na je, kwasasa,
una mpango wa kuendelea kuiunga mkono chadema iliyoachana kabisa na masuala ya kisiasa na kujikita kwenye masuala ya kutafuta pesa za matumizi ya viongozi waandamizi wa kitaifa, chama na familia zao?
Mungu Ibariki Tanzania

pole gentleman,Gentlemen, tuache kwanza na chadema yetu,
Vyama vyote uwa vinapewa michango
Hata CCM uwa wanachangiwa
Gentleman,View attachment 3274358
Bila ya hayo aliyoyazungumza aliyekuwa katibu wenu ccm hamna anachoweza kushinda.
gentleman,Kunya ulale kuondoa ugonjwa wa mpox. Mwisho usitusumbue na pesa unazo shikana nazo unazo pewa na ccm.
Watafiti tumegundua usije kutupa mpox
UWT nao ni wanufaika na ufisadiMbona ujawasihi wananchi waache kulipa Kodi zinazoliwa na mafisadi ya chama chako
We takataka tu kama muhindi mavi ya parikigentleman,
unahisi wale vibaka wa kisiasa na wahamasishaji wa kampeni ya tone tone wamekupiga kiasi gani mpaka sasa?
nani ni tatizo pale chadema mpaka ususe kuchangia tena?
gentleman relax basi?Yani JF inabidi wawe wanakulipisha kwa faida ya fungu la kuleta ujinga wako toka ccm
Mpaka leo unatumia emoji za pc.inamaana hupo lumumba au dodoma wakiwa wanakulipa ujinga alafu kama sio wewe stive mangere ni kweligentleman relax basi?
najua kutapeliwa kunauma sana,
nani hasa alikutumbukiza kwenye hasara na fedheha hiyo?
kutengwa na michakato ya kidemokrasia kutakusaidia nini zaidi ya kuumiza moyo wako?
Stive mangerer endelea na sanaa mpaka mwandiko wako nishaujuacalm down gentleman,
kampeni ya tone tone inaisha lini, na lengo ni kukusanya kiasi gani cha pesa?
au ni mwendo wa pereso pereso kanyaga twende, changi tule
Gentleman,Mpaka leo unatumia emoji za pc.inamaana hupo lumumba au dodoma wakiwa wanakulipa ujinga alafu kama sio wewe stive mangere ni kweli
Stive mengere id hako na IP zinaonekana acha kutuanikia kijambio basiGentleman,
utaendelea kuchangia au nawe umeshajistukia kupigwa?
nini maana ya no reform no elections?