Gentleman,Hii ID ni ya jamaa alikuwa komedy kwa jina stive nyerere sio ukoo wao ambao ni stive mangereView attachment 3274371
Kikosi chako cha propaganda wata kupa pesa hukoGentleman,
kwanini huwaamini viongozi wasimamizi wa kampeni ya tone tone gentleman?
nauli ya kwenda Angola kwa viongozi wa chadema ilikua zaidi ya milioni 45, je ni kati ya zilizochangwa kwenye kampeni ya tone tone?
Wahuni wako kitchen party wanakula nyama choma.Chama kimekosa wabunifu katika kufanya siasaUmegundua nini hata ukaamua kusita na kutoendelea kabisa kuchangia mpango huo wa chadema wa tone tone?
ni kwasababu ya kufichwa kwa taarifa za makusanyo?
au ni kwasababu ya matumizi makubwa ya kificho ya fedha za chama kwa viongozi waandamizi wapya chadema taifa?
Je,
ni kwasababu umeona hakuna haja ya kuchangia chama, kwakua chadema imejitenga kabisa na kutojishughulisha na shughuli za kisiasa ikiwa ni pamoja na uchaguzi mkuu, na kwahivyo ukaona hakuna maana ya kuendelea kuchangia chama ambacho hakina kazi wala malengo ya kushika dola?
Na je, kwasasa,
una mpango wa kuendelea kuiunga mkono chadema iliyoachana kabisa na masuala ya kisiasa na kujikita kwenye masuala ya kutafuta pesa za matumizi ya viongozi waandamizi wa kitaifa, chama na familia zao?
Mungu Ibariki Tanzania
Shida hata IT yako ni ya kizamani lipwa pesa na ccmGentleman,
kwanini huwaamini viongozi wasimamizi wa kampeni ya tone tone gentleman?
nauli ya kwenda Angola kwa viongozi wa chadema ilikua zaidi ya milioni 45, je ni kati ya zilizochangwa kwenye kampeni ya tone tone?
Gentleman,Shida hata IT yako ni ya kizamani lipwa pesa na ccm
Gentleman,Mbona ujawasihi wananchi waache kulipa Kodi zinazoliwa na mafisadi ya chama chako
hao ni mashabiki wa siasa wasio na vyama na ndio maana unaona hata IQ zao ni very low,Hoja haipigwi rungu,ila unabezwa badala kujibiwa na hoja zenye nguvu kuliko zako?
UWT mchango wenu ni nini?halafu mama Ima hujachangia hata kumi tukicheki kwenye databezi,
BAWACHA kata ya Sombetini mlistuka mapema sio mama Ima?
Mwenyekiti wa Chadema Taifa yupo ng'ambo kucheki familia na nyumba yake kama iko sawa,UWT mchango wenu ni nini?
Yaani kumbe mna discuss jambo na akili ya aina hii?Stive mengere id hako na IP zinaonekana acha kutuanikia kijambio basi