Kwanini unamuingiza mtu kwenye kundi (group) bila ridhaa yake?

Kwanini unamuingiza mtu kwenye kundi (group) bila ridhaa yake?

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Ewe admin,

Labda mtoto wako anaoa, anagraduate, kipaimara, au la shule huko, hivi kwanini una muadd mtu tu bila taarifa? Yaani nani kakwambia kwamba I'm interested in groups' chat?

Halafu nani kawaambieni nyinyi maadmin kwamba ukimuadd mtu then akaleft hataki shirikiana nanyi? Kwani ukishanipa taarifa ya tukio haitoshi? Must you add me? Please!

Nimekuwa added kwa group nikaleft. Baada kila ya kuturn on data nakutana na messages 100+ huko halafu hazina maana. Napigiwa simu eti mbona nimeleft?!

Come on you admins, YOU NEED TO MAN & GROW UP.

OVER.
 
Baada ya hii mitandao kuingia watu wanazidi kujitoa fahamu........
 
Mbona simple tu
Screenshot_20221207-082913_WhatsApp.jpg
 
UTEUZI :

Nimeteuliwa kuwa admin wa group la wana lumumba buku 7.
 
Mimi mtu akiniadd kwenye group lake siongei wala sicheki wala sileft nakuwa tu kama kibao cha maili [emoji276]mwisho wa siku wananiacha mwenyewe kwenye group hadi admin analeft
Nimetumia hiyo njia kwa group la Send off,mpaka wanavunja group mimi kimya,na nili archive na kumute.Kila baada ya week nikiangalia nakuta msgs 400+ naziclear naendelea na mengine.
 
Ttz yale manotification yana boa

Ova
Weka Archive hilo group kisha mute msgs zote za hilo group,huwezi kuziona hizo notification wala msgs mpaka uingie kule Archive.
 
Weka Archive hilo group kisha mute msgs zote za hilo group,huwezi kuziona hizo notification wala msgs mpaka uingie kule Archive.
Safi sana..
 
Kwahiyo ndugu yangu Daniel Taha umeleft group letu la kipaimara afu unakuja kunisema humu Jf🥲nakwambiaje nakuadd tena na hautaweza left nna watsaap gb😡
 
Back
Top Bottom