Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungetisha zaizi baada ya kuleft unamblock huyo bwege alokuunga.Ewe admin,
Labda mtoto wako anaoa, anagraduate, kipaimara, au la shule huko, hivi kwanini una muadd mtu tu bila taarifa? Yaani nani kakwambia kwamba I'm interested in groups' chat?
Halafu nani kawaambieni nyinyi maadmin kwamba ukimuadd mtu then akaleft hataki shirikiana nanyi? Kwani ukishanipa taarifa ya tukio haitoshi? Must you add me? Please!
Nimekuwa added kwa group nikaleft. Baada kila ya kuturn on data nakutana na messages 100+ huko halafu hazina maana. Napigiwa simu eti mbona nimeleft?!
Come on you admins, YOU NEED TO MAN & GROW UP.
OVER.
Niunge huko jf group mtani.Ustaarabu nikunfahamisha mhusika kwanza ama la kumpatia link aamue mwenyewe kujiunga ama la
Jana tu kuna mtu kaniunga kwenye group sijui la afya bila raarifa. Nika left.Ewe admin,
Labda mtoto wako anaoa, anagraduate, kipaimara, au la shule huko, hivi kwanini una muadd mtu tu bila taarifa? Yaani nani kakwambia kwamba I'm interested in groups' chat?
Halafu nani kawaambieni nyinyi maadmin kwamba ukimuadd mtu then akaleft hataki shirikiana nanyi? Kwani ukishanipa taarifa ya tukio haitoshi? Must you add me? Please!
Nimekuwa added kwa group nikaleft. Baada kila ya kuturn on data nakutana na messages 100+ huko halafu hazina maana. Napigiwa simu eti mbona nimeleft?!
Come on you admins, YOU NEED TO MAN & GROW UP.
OVER.
Mimi huwa naweka kwenye archives. Kwisha habari.Mimi mtu akiniadd kwenye group lake siongei wala sicheki wala sileft nakuwa tu kama kibao cha maili [emoji276]mwisho wa siku wananiacha mwenyewe kwenye group hadi admin analeft
mi shapiga pini kotekoteLakini si kuna option ya kublock watu wasikuunge kwenye magroup?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Wakiku add kwenye jukwaa la wakubwa hata bila ridhaa yako hulalamiki...
Unapitia maudhui kimya kimya na last seen unaficha kabisa...
Si wengi wanajua au wana 'muda' wa kuset hizo. Ni ukosefu mkubwa wa ustaarabu kumuunga mtu kumuunga bila ridhaa. Tuma basi invitation link aingie kwa hiari.Lakini si kuna option ya kublock watu wasikuunge kwenye magroup?
mtoto wako anagraduate, eti ubarikio, kumunio, kipaimara kisha unataka watu wakuchangie ili iweje? Mambo ya ajabu kabisa
Hii imenitokea niungwa kwenye group la ujenzi na kupangisha Nyumba bila ya ridhaa yangu tulipo mhoji admin katoa wapi number zetu kalifunga group hauruhusiwi kutuma sms yoyote, basi ni kiji toa tu, ustaarabu ni hekima kubwa.Ewe admin,
Labda mtoto wako anaoa, anagraduate, kipaimara, au la shule huko, hivi kwanini una muadd mtu tu bila taarifa? Yaani nani kakwambia kwamba I'm interested in groups' chat?
Halafu nani kawaambieni nyinyi maadmin kwamba ukimuadd mtu then akaleft hataki shirikiana nanyi? Kwani ukishanipa taarifa ya tukio haitoshi? Must you add me? Please!
Nimekuwa added kwa group nikaleft. Baada kila ya kuturn on data nakutana na messages 100+ huko halafu hazina maana. Napigiwa simu eti mbona nimeleft?!
Come on you admins, YOU NEED TO MAN & GROW UP.
OVER.
Ni vitu vya ajabu sana hivi!Jamani
Siku hizi kuna mpaka michango ya birthday Za Watoto