Ustaarabu nikunfahamisha mhusika kwanza ama la kumpatia link aamue mwenyewe kujiunga ama laEwe admin..
Labda mtoto wako anaoa, anagraduate,au kipaimara, au la shule Hukoo....
Nimekufuata pm naomba ufungue na usomeLakini si kuna option ya kublock watu wasikuunge kwenye magroup?
mtoto wako anagraduate, eti ubarikio, kumunio, kipaimara kisha unataka watu wakuchangie ili iweje? Mambo ya ajabu kabisaEwe admin,
Labda mtoto wako anaoa, anagraduate, kipaimara, au la shule huko, hivi kwanini una muadd mtu tu bila taarifa? Yaani nani kakwambia kwamba I'm interested in groups' chat...
👏👏Ustaarabu nikunfahamisha mhusika kwanza ama la kumpatia link aamue mwenyewe kujiunga ama la
Nimetumia hiyo njia kwa group la Send off,mpaka wanavunja group mimi kimya,na nili archive na kumute.Kila baada ya week nikiangalia nakuta msgs 400+ naziclear naendelea na mengine.Mimi mtu akiniadd kwenye group lake siongei wala sicheki wala sileft nakuwa tu kama kibao cha maili [emoji276]mwisho wa siku wananiacha mwenyewe kwenye group hadi admin analeft
Ni pm namna ya kufanya mkuuLakini si kuna option ya kublock watu wasikuunge kwenye magroup?
Ttz yale manotification yana boaMimi mtu akiniadd kwenye group lake siongei wala sicheki wala sileft nakuwa tu kama kibao cha maili [emoji276]mwisho wa siku wananiacha mwenyewe kwenye group hadi admin analeft
Weka Archive hilo group kisha mute msgs zote za hilo group,huwezi kuziona hizo notification wala msgs mpaka uingie kule Archive.Ttz yale manotification yana boa
Ova