HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hivi walisema ukiweka unapata faida ya asilimia ngapi vile?
13% baada ya mwaka
na baada ya muda gani vile?
Ni ya mwaka mmoja ila wanatoa mara 2 yaani kwa miezi 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi walisema ukiweka unapata faida ya asilimia ngapi vile?
na baada ya muda gani vile?
Sahihisho, NMB sio ya kwanza ku issue corporate bond, Exim wali issue mwaka jana kuthibitisha angalia DSE on the run issued bonds. Investment ya bond ni nzuri lakin NMB walitakiwa waangalie market, bond yao ina interest ndogo sana, japokuwa maturity ni miaka mitatu. Wangeongeza premium kidogo kuvutia watu hasa ikizingatiwa kuwa ni kama wanafanya speculation. Ila ni hatua nzuri kwa kuanza, makampuni mengi pia yanatakiwa yajitanue kupitia uwekezaj ktk soko la mitaji ili kukuza economy ya nchi na mtu mmoja mmoja.
Tena kwa hela kidogo kama 500,000 ndo hamna kitu kabisa, yan uweke 500,000 unasubiri 65,000 baada ya mwaka mzima. Mkuu hiyo hela si bora ukanywe bia tu. Hii inataka watu wenye hela nyingi ambazo bado hawajajipanga wafanyie nin, au makampuni yenye malengo flan ya kibiashara. Sio watu wa kawaida. Ukiweka mil 100 mwisho wa mwaka unapata mil 13. kama return.Mkuu kwa denominator ya Min 500,000/- 13% siyo rate ndogo mkuu.
Tena kwa hela kidogo kama 500,000 ndo hamna kitu kabisa, yan uweke 500,000 unasubiri 65,000 baada ya mwaka mzima. Mkuu hiyo hela si bora ukanywe bia tu. Hii inataka watu wenye hela nyingi ambazo bado hawajajipanga wafanyie nin, au makampuni yenye malengo flan ya kibiashara. Sio watu wa kawaida. Ukiweka mil 100 mwisho wa mwaka unapata mil 13. kama return.
Mkuu hii ni passive income inaingia hata ukiwa umelazwa ICU.Tena kwa hela kidogo kama 500,000 ndo hamna kitu kabisa, yan uweke 500,000 unasubiri 65,000 baada ya mwaka mzima. Mkuu hiyo hela si bora ukanywe bia tu. Hii inataka watu wenye hela nyingi ambazo bado hawajajipanga wafanyie nin, au makampuni yenye malengo flan ya kibiashara. Sio watu wa kawaida. Ukiweka mil 100 mwisho wa mwaka unapata mil 13. kama return.
utaratibu wa kununua ukoje?? naomba kujuzwa
Riba ya 13% ni factor moja nzuri sana ya kufanya uwekezaji wa baadae. Na huu ni mwanzo i expect at least 20 years from now kutakuwa na schemes nyingi zinazotoa riba ya above 10%, ukitumia vizuri hizi chance wala hutakuja kufikiria kuhusu pension maana yenyewe ina guarantee pension tosha. Ni ujue to namna ya kuucheza huu mchezo. Good luck
Sahihisho, NMB sio ya kwanza ku issue corporate bond, Exim wali issue mwaka jana kuthibitisha angalia DSE on the run issued bonds. Investment ya bond ni nzuri lakin NMB walitakiwa waangalie market, bond yao ina interest ndogo sana, japokuwa maturity ni miaka mitatu. Wangeongeza premium kidogo kuvutia watu hasa ikizingatiwa kuwa ni kama wanafanya speculation. Ila ni hatua nzuri kwa kuanza, makampuni mengi pia yanatakiwa yajitanue kupitia uwekezaj ktk soko la mitaji ili kukuza economy ya nchi na mtu mmoja mmoja.
nimeiona pia hii kwenye moja ya vipeperushi vyao
kuna jina la tofauti wameipa kuachilia hili la Bonds.
Kwa calculate za haraka haraka ni biashara nzuri sana ila kama utaweka mtaji mkubwa ila less than 10 mil kwa 13% + muda faida ni ndogo sana
Kiswahili wanaita 'hati fungani'
Tena kwa hela kidogo kama 500,000 ndo hamna kitu kabisa, yan uweke 500,000 unasubiri 65,000 baada ya mwaka mzima. Mkuu hiyo hela si bora ukanywe bia tu. Hii inataka watu wenye hela nyingi ambazo bado hawajajipanga wafanyie nin, au makampuni yenye malengo flan ya kibiashara. Sio watu wa kawaida. Ukiweka mil 100 mwisho wa mwaka unapata mil 13. kama return.
Nilipita NMB mliman city nikapata elimu ya hii kitu,nakubaliana na wew hii kitu ili uone faida yake lazima uwe na mtaji mkubwa watu wanasahau kuwa hiyo 13% inakatwa kodi ya karibu 10% ..! Ni wazo zuri kwa watu wenye fedha za kutosha..!