Kwanini unapaswa kununua bond au Hati fungani ya NMB?

Umeleta jambo zuri ngoja nilifanyie kazi before deadline
 
Riba ya 13% ni factor moja nzuri sana ya kufanya uwekezaji wa baadae. Na huu ni mwanzo i expect at least 20 years from now kutakuwa na schemes nyingi zinazotoa riba ya above 10%, ukitumia vizuri hizi chance wala hutakuja kufikiria kuhusu pension maana yenyewe ina guarantee pension tosha. Ni ujue to namna ya kuucheza huu mchezo. Good luck
 
Sahihisho, NMB sio ya kwanza ku issue corporate bond, Exim wali issue mwaka jana kuthibitisha angalia DSE on the run issued bonds. Investment ya bond ni nzuri lakin NMB walitakiwa waangalie market, bond yao ina interest ndogo sana, japokuwa maturity ni miaka mitatu. Wangeongeza premium kidogo kuvutia watu hasa ikizingatiwa kuwa ni kama wanafanya speculation. Ila ni hatua nzuri kwa kuanza, makampuni mengi pia yanatakiwa yajitanue kupitia uwekezaj ktk soko la mitaji ili kukuza economy ya nchi na mtu mmoja mmoja.
 

Mkuu kwa denominator ya Min 500,000/- 13% siyo rate ndogo mkuu.
 
Mkuu kwa denominator ya Min 500,000/- 13% siyo rate ndogo mkuu.
Tena kwa hela kidogo kama 500,000 ndo hamna kitu kabisa, yan uweke 500,000 unasubiri 65,000 baada ya mwaka mzima. Mkuu hiyo hela si bora ukanywe bia tu. Hii inataka watu wenye hela nyingi ambazo bado hawajajipanga wafanyie nin, au makampuni yenye malengo flan ya kibiashara. Sio watu wa kawaida. Ukiweka mil 100 mwisho wa mwaka unapata mil 13. kama return.
 

Saving is culture, kama huna hiyo culture huwezi kusave.

Watu wanasevu maelfu na maelfu for free interest, tena wanakatwa monthly charges na bado wanasave, so hii inayokuja na faida nadhani ni kwa wale ambao wamekuwa wakisevu hata bure kwa muda mrefu.
 
Mkuu hii ni passive income inaingia hata ukiwa umelazwa ICU.
 
ni kitu kizuri sana.. unasave for your kids via bonds...

tatizo ni moja tu inflation yetu inapanda kwa kasi sana na vile vile flexibilty za telecom industry zinatishia future ya bank industry..

kwa study niliisoma toka telecom ianze money services banks nyingi hisa zimeshuka sana na zinazid kushake..

hatujui next 5 years telecom industry itakuwa imegundua kitu gani na kita affect vipi ma bank..

telecom ina diversity, flexibility na creativity ya hali ya juu sana fasta fasta na hii inaogopesha mtu makini kuwekeza kwenye hisa za ma bank
 

Wazungu wengi wanaokuja kutalii ndo wanakuwa wameinvest vitu kama hivi
 

Ahsante kwa masahihisho....
 
nimeiona pia hii kwenye moja ya vipeperushi vyao

kuna jina la tofauti wameipa kuachilia hili la Bonds.

Kwa calculate za haraka haraka ni biashara nzuri sana ila kama utaweka mtaji mkubwa ila less than 10 mil kwa 13% + muda faida ni ndogo sana
 
nimeiona pia hii kwenye moja ya vipeperushi vyao

kuna jina la tofauti wameipa kuachilia hili la Bonds.

Kwa calculate za haraka haraka ni biashara nzuri sana ila kama utaweka mtaji mkubwa ila less than 10 mil kwa 13% + muda faida ni ndogo sana

Kiswahili wanaita 'hati fungani'
 

Nilipita NMB mliman city nikapata elimu ya hii kitu,nakubaliana na wew hii kitu ili uone faida yake lazima uwe na mtaji mkubwa watu wanasahau kuwa hiyo 13% inakatwa kodi ya karibu 10% ..! Ni wazo zuri kwa watu wenye fedha za kutosha..!
 
Nilipita NMB mliman city nikapata elimu ya hii kitu,nakubaliana na wew hii kitu ili uone faida yake lazima uwe na mtaji mkubwa watu wanasahau kuwa hiyo 13% inakatwa kodi ya karibu 10% ..! Ni wazo zuri kwa watu wenye fedha za kutosha..!

Mkuu una saving account? Ina balance ya kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…