Samahani braza naomba niulize maswali mawili tu..
1.je baada ya kununua hizo bond unaweza kujitoa endapo unaona mambo hayaendi km ulivyo tarajia or something else? if the answer is yes ni baada ya muda gani? 6months,a year or? masharti yake yakoje?
2.Je naweza kuongeza au kupunguza kiasi cha pesa niliyowekeza kununua bond?
Asante.
Quarterpin, je katika mahesabu yao wanajali kuhusu kushuka kwa thamani ya ela yetu, nikiweka kwa mfano mil 20, kwa kasi jinsi ela yetu inavyoshuka 20ml ya leo si sawa na 20ml ya baada ya miaka ya miaka 3.Kumature ni wakat wanapo kurudishia uwekezaji wako, ila hiyo interest ya asilimia 13 ndio annual return, ambayo wanakupa kila baada ya miez 6, kwa hiyo utakuwa unalipwa kila baada ya miez 6 kwa miaka mitatu ambapo ndio wanarudisha mtaji.
Kwa nchi zilizoendelea hizo corporate bond huwa zinafanyiwa rating ili kutoa credit quality, yaan kunakuwa na taasis ambazo zinatoa credibility ya usalama wa uwekezaji, kwa hiyo wanafanya grading ili mwekezaji upime risk.
Serikali ni risk free lakin return huwa inakuwa iko chin kidogo kulinganisha na privates sababu ya risk premium. Siandiki kukatisha tamaa au kuharibu hilo tangazo la The boss ila hiyo return inatakiwa kuwa juu ya return za serikal zenye maturity kama hiyo kwa maana ya medium term treasury bonds.
Samahani braza naomba niulize maswali mawili tu..
1.je baada ya kununua hizo bond unaweza kujitoa endapo unaona mambo hayaendi km ulivyo tarajia or something else? if the answer is yes ni baada ya muda gani? 6months,a year or? masharti yake yakoje?
2.Je naweza kuongeza au kupunguza kiasi cha pesa niliyowekeza kununua bond?
Asante.
Quarterpin, je katika mahesabu yao wanajali kuhusu kushuka kwa thamani ya ela yetu, nikiweka kwa mfano mil 20, kwa kasi jinsi ela yetu inavyoshuka 20ml ya leo si sawa na 20ml ya baada ya miaka ya miaka 3.
Ni wazi sasa wengi wetu sasa tumeelimika kupitia mada nyingine za hati fungani za NMB (NMB BONDS)ni kupitia mada hizo maswali maoni uchambuzi na hata kuchagiza kwa namna yake vilijitokeza
Wengi waliongelea kuhusu faida kidogo ipatikanayo kwenye hatifungani, lakini naamini kabisa hawakutafakari kuhusu gharama za uendeshaji kodi bima nk za hatifungani
Si kila mmoja wetu ni mfanyabiashara au anaweza kufanya biashara, kwahiyo unaweza kuwaza faida nono unayowaza kupata kwenye biashara fulani lakini bila kutafakari yafuatayo
-kodi za pango
-gharama za uendeshaji
-mishahara ya wafanyakazi
-kodi mbalimbali
-risk mbalimbali
-muda wa ufuatiliaji
Na wakati mwingine hasara au mzigo kuchelewa kutoka kwa wakati
Ukija kuyajumuisha haya yote na faida unayopata utajikuta faida ni ndogo kuliko matarajio yako
Kuna wengi wetu pia wameweka pesa zao nyingi tu bank huku Zikiwa zina makato ya kila mwezi na gharama nyinginezo. .HUKU NI KUPOTEZA
Hivyo basi kwa mkakati huu waliokuja nao NMB wa hatifungani ni wazi utakuwa ni mkombozi kwa watu wengi hasa
wafanyakazi wa kaliba zote
Wafanya biashara kubwa za kati na ndogo ndogo
Watu wa jinsia zote
Wenye kupata pesa za msimu nk nk
Pesa yako ya kunulilia hatifungani inakuwa salama huku ikizalisha
Unakuwa huna pressure hata msimu Unapokuwa chini
Unakuwa huna gharama za uendeshaji
Unakuwa una uhakika wa faida isiyoyumba
Huhitajiki kulipa kodi mbalimbali wala mishahara ya wafanyakazi
Kimsimgi unakuwa na faida yako murua isiyokuletea headache yoyote
Kwasasa NMB ni Benki inayofanya vizuri sana kwahiyo uhakika wa pesa yako unakuwa si wa mashaka mashaka
Hujachelewa bado unayo nafasi ya kununua hatifungani za NMB
Asante nafikiri kwa picha inaweza kuwa rahisi zaidi kwa mtu kuelewa dhana nzima ya hatifungani za NMBKaka mshana jr umeelezea vizuri na ninaimani bandiko lako litawatoa watu wengi gizani kwa maana kununua hati fungani ya NMB ni tofauti na kuweka fedha zako Benki ambapo utakuwa unakatwa monthly charges and sorts. Bond ni kwamba unaikopesha benki ya NMB fedha zako kwa muda na riba ya 13%.
Hicho hicho kidogo ndo huleta kikubwaIko poa lkn ninzuri zaidi kwawenye pesa nyingi kwawale wenzangu namm bora kukoma tu kwenye biashara zetu ndogondogo
Kujitoa kupo,Mkuu bonds sio hisa
hakuna swala la kuangalia mambo yanaenda au la
ni unawakopesha wewe pesa kwa riba kwa mda fulani
mda ukifika wanakulipa
ninavyofahamu hakuna kujitoa ...wala kuongeza wala kupunguza
unawapa mda ukifika wanakulipa chako....
Ni mpaka uwe na mipango thabiti na uhakika wa kurudisha msingi na faida...wengi wamepoteza pesa nyingi kwa kufanya biashara na uwekezaji mwingine kisha wakaishia kutapeliwa kuibiwa au kupata hasaraHata uwe na 100m usiwekeze kwenye bond, bora uchek issue zingine.
Hati fungani hizihizi za 13%[/QUOTE]Hat I TE="Bavaria, post: 16249485, member: 295384"]Unajua hati fungani ni nini hasa? Au unazijua tu hizi za NMB? Unajua zinavyonunuliwa? Unajua kwanini mabenki wanapigana vikumbo kununua hati fungani za serikali? Kuna watu wengi sana wamekuwa mabilionea kwa kununua hati fungani. Na hata nikikuambia huwezi kuwajua.
Kwa Tanzania;
1. Reginald Mengi, sio kwamba ananunua hati fungani za Tanzania tu, nchi nyingi nje ya Tanzania.
2. Ali Mufuruki,
3. Wengine hata nikikutajia huwezi kuwafahamu.
Hati fungani hizihizi za 13%[/QUOTE]Hat I TE="Bavaria, post: 16249485, member: 295384"]Unajua hati fungani ni nini hasa? Au unazijua tu hizi za NMB? Unajua zinavyonunuliwa? Unajua kwanini mabenki wanapigana vikumbo kununua hati fungani za serikali? Kuna watu wengi sana wamekuwa mabilionea kwa kununua hati fungani. Na hata nikikuambia huwezi kuwajua.
Kwa Tanzania;
1. Reginald Mengi, sio kwamba ananunua hati fungani za Tanzania tu, nchi nyingi nje ya Tanzania.
2. Ali Mufuruki,
3. Wengine hata nikikutajia huwezi kuwafahamu.