Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumature ni wakat wanapo kurudishia uwekezaji wako, ila hiyo interest ya asilimia 13 ndio annual return, ambayo wanakupa kila baada ya miez 6, kwa hiyo utakuwa unalipwa kila baada ya miez 6 kwa miaka mitatu ambapo ndio wanarudisha mtaji.hebu tuelimishane. nini maana ya kusema bond ime mature/iva? baada ya muda gani unaweza toa pesa zote? vipi kampuni ikifilisika? hizi za makampunii na serikali zipi nzuri?
shukrani kwa elimu mkuu.Kumature ni wakat wanapo kurudishia uwekezaji wako, ila hiyo interest ya asilimia 13 ndio annual return, ambayo wanakupa kila baada ya miez 6, kwa hiyo utakuwa unalipwa kila baada ya miez 6 kwa miaka mitatu ambapo ndio wanarudisha mtaji.
Kwa nchi zilizoendelea hizo corporate bond huwa zinafanyiwa rating ili kutoa credit quality, yaan kunakuwa na taasis ambazo zinatoa credibility ya usalama wa uwekezaji, kwa hiyo wanafanya grading ili mwekezaji upime risk.
Serikali ni risk free lakin return huwa inakuwa iko chin kidogo kulinganisha na privates sababu ya risk premium. Siandiki kukatisha tamaa au kuharibu hilo tangazo la The boss ila hiyo return inatakiwa kuwa juu ya return za serikal zenye maturity kama hiyo kwa maana ya medium term treasury bonds.
Nilipita NMB mliman city nikapata elimu ya hii kitu,nakubaliana na wew hii kitu ili uone faida yake lazima uwe na mtaji mkubwa watu wanasahau kuwa hiyo 13% inakatwa kodi ya karibu 10% ..! Ni wazo zuri kwa watu wenye fedha za kutosha..!
Mkuu una saving account? Ina balance ya kiasi gani?
Haya maswali ya kike na hayakusaidi chochote.
Haya maswali ya kike na hayakusaidi chochote.
Mkuu he has a strong point sema umeamua kum crash tu. Unajua kama mtu ana savings account ya 50M ambayo inapata riba ya 4 per year huwezi kusema 13% ni ndogo. Ameuliza vizur sana sema hujamuelewaHaya maswali ya kike na hayakusaidi chochote.
Mkuu hilo ulilouliza sio swali la kike kamwe. Sema hawajakuelewa vizur mi nimekuelewa san aNimekupata mkuu, nisamehe kwa kukuuliza swali la kike.
Mkuu hilo ulilouliza sio swali la kike kamwe. Sema hawajakuelewa vizur mi nimekuelewa san a
utaratibu wa kununua ukoje?? naomba kujuzwa
Fika tawi lolote la NMB watakupa details vizuri
Wengi wanachanganya mkuu, kununua hati fungani ya NMB ni tofauti na kuweka fedha Benki kwani unaikopesha benki fedha zako kwa muda na riba zilizoainishwa.Mkuu hii ni passive income inaingia hata ukiwa umelazwa ICU.
Tena kwa hela kidogo kama 500,000 ndo hamna kitu kabisa, yan uweke 500,000 unasubiri 65,000 baada ya mwaka mzima. Mkuu hiyo hela si bora ukanywe bia tu. Hii inataka watu wenye hela nyingi ambazo bado hawajajipanga wafanyie nin, au makampuni yenye malengo flan ya kibiashara. Sio watu wa kawaida. Ukiweka mil 100 mwisho wa mwaka unapata mil 13. kama return.
Sad to hear that, any ideas on how you can sort that out?Bonds is a guaranteed income vs stocks. I have stocks of over 20M its value has gone south ridiculously.
Kuna mdau mja hapo juu anashaka kuhusu future ya uwekezaji kwenye bonds za mabenki kwa vile makampuni ya simu yanaleta shaka,kazi kuu ya benki ni kukopesha na tele companies ni kuwezesha mawasiliano,mutual hapa ni money transactions lakini tele companies haziruhusiwi ku transact volume kubwa ya pesa,hiyo ni kazi ya banks so kushuka kwa thamani za baadhi ya benk huko ulaya kuna sababu kubwa kuliko hii lakini bonds ni guarantee unlike shares.NMB inge offer attractive packages zaidi ya ile ya Exim sasa wamerudi nyuma kidogo but ni good kwa kuwa ni kampuni ya 2 ku ishu bonds,soko linakua
Tarehe 8 mwei huu wa June itakuwa siku ya mwisho kununua Bonds za NMB..
NMB ndio kampuni ya kwanza kuuza Bonds Tanzania kwa public...
Bonds tofauti na hisa huwa hazishuki thamani..ziko fixed
Nchi za wenzetu ni kawaida sana hapa ketu ndo baado tunaanza...
Ushauri wangu wale ambao mnaweza kununua bonds hizi mjitokeze kabla ya deadline
ili angalau zoezi hili liwe la mafanikio kampuni zingine zivutike kuuza bonds pia..
Kwa wale ambao hawajui tu ni kuwa NMB sasa ndo benki kuubwa kuliko zote Tanzania
kwa kila kitu.....(i stand to be corrected)
Kwa idadi ya wateja
ukubwa wa mtaji
thamani ya kampuni na kadhalika....
na sekta ya benki Tanzania bado changa sana...kwani watanzania wanaotumia banks
hawafiki mlioni 3 huku wenye uwezo wa kutumia bank wapo zaidi ya milioni 20
hii ina maana bank zitazidi tu kukua....na thamani ya hizi bank itazidi kuongezeka
mfano mzuri ni hisa tu za NMB....walionunua wakati zinaanza (IPO) leo thamani ya hisa zao
wengi ni mabilioni ya shilingi...na sasa watu kutoka Europe hadi USA wanakuja kununua hisa za NMB
Na hizi Bonds za NMB mwaka huu ndo mwanzo tu .....miaka michache ijayo usishangae zikavuta watu kutoka mbaali sana huku sisi wenyewe tukiwa hapa hapa...
Ningependa hii thread tueleweshane faida za bonds hizi.....na tuhamasishane......