Kwanini unasema huna mtaji? Ni kisingizio?

Kwanini unasema huna mtaji? Ni kisingizio?

Jamani hii ya kuanza bila mtaji mie ni muumini...kiukweli sio lazima biashara uanze na mtaji..kama ulovyosema mtaji ni kuwa Na muda na akili hili ndo wengi tunafeli hapa!

Sema tukitoa ushuhuda tutaitwa mamotivesheno supika 😒
Aise nimetafakari comment yako nimetamani uongezee na ufunguke zaidi kwenye haya maelezo yako ili nijifunze zaidi. Niliwahi kumsikia mtu anasema "work smart not hard" kuna namna naona hiyo statement inaendana na ulichoandika.
 
Aise nimetafakari comment yako nimetamani uongezee na ufunguke zaidi kwenye haya maelezo yako ili nijifunze zaidi. Niliwahi kumsikia mtu anasema "work smart not hard" kuna namna naona hiyo statement inaendana na ulichoandika.
Niliandika jion nikafuta .
 
Jamani hii ya kuanza bila mtaji mie ni muumini...kiukweli sio lazima biashara uanze na mtaji..kama ulovyosema mtaji ni kuwa Na muda na akili hili ndo wengi tunafeli hapa!

Sema tukitoa ushuhuda tutaitwa mamotivesheno supika 😒


Hapana mkuu we fungua moyo na sisi tuokote chochote kitujenge.

Hatutakuita Motivesheni sipika😀
 
Jamani hii ya kuanza bila mtaji mie ni muumini...kiukweli sio lazima biashara uanze na mtaji..kama ulovyosema mtaji ni kuwa Na muda na akili hili ndo wengi tunafeli hapa!

Sema tukitoa ushuhuda tutaitwa mamotivesheno supika [emoji19]
Point kubwaa saaana. Kumeibuka mtindo wa vijana hapa jukwaani kila ukieleza jinsi ya vijana kujiajiri bila kuwa na mtaji kwa kuanzia chini,wanakupachika u-motivetion spiker. Vijana wengi siku hizi wame-focus kwenye kuajiriwa tu.

Wakati kujiajiri ni mtu kuamua kwa dhati wewe mwenyewe na ukubali kuanzia chini. Mara nyingi vijana wangu nawafundisha vijana wangu kwamba mtaji wa mtu ni afya yake njema
 
Point kubwaa saaana. Kumeibuka mtindo wa vijana hapa jukwaani kila ukieleza jinsi ya vijana kujiajiri bila kuwa na mtaji kwa kuanzia chini,wanakupachika u-motivetion spiker. Vijana wengi siku hizi wame-focus kwenye kuajiriwa tu. Wakati kujiajiri ni mtu kuamua kwa dhati wewe mwenyewe na ukubali kuanzia chini. Mara nyingi vijana wangu nawafundisha vijana wangu kwamba mtaji wa mtu ni afya yake njema
Yes mkuu bila afya basi hakuna kitu...ntakuja tuchat kesho kule nikuambie ss hv niko wap ..mie siwazag mtaji kbs ..yaan siwaz ...akili tu ...
 
Je unajua yanakopatikana hayo mabegi na bei zake na sifa zake na utofauti wake?
+
Je unajua walipo wateja wa mabegi na bajeti zao na mahitaji yao?
+
Je unajua kwa wastani utauza mabegi mangapi kwa siku,wiki au mwezi na utauza kwa bei gani?
+
Je unatarajia kupata faida kiasi gani kwa kila begi?
Hii ni PURE RESEARCH

Kwamba hii Reserch yote unaikamilisha by less than 1.0 Tzs.
 
+

+

+

Hii ni PURE RESEARCH

Kwamba hii Reserch yote unaikamilisha by less than 1.0 Tzs.
Nashukuru kwamba wewe umeelewa comment yangu.Nataka watu waamke.Wapambane kujenga passion zao waache visingizio.Maisha sio raihisi hivo.hata nikikuajiri lazima uzalishe zaidi ya mshahara wako ili nione kwamba una thamani.Tuambiane ukweli.

Naona Jamaa kapotea.Ila kama kakwama huwa nawasaidiwa watu kama yeye waache kufikiri maisha ni rahisi
 
Biashara mojawapo isiyohitaji mtaji;ni kutafutia wateja wenye bidhaa au viwanda,nawe unapata gawio. Kwa mfano leo ukienda kiwanda chochote na kuwahakikishia kuna sehemu bidhaa zao zitatoka kwa haraka,mfano uende kiwanda cha bia,useme kuna sehemu mzigo wa kreti 500 zinawezaa kuisha kwa siku...naimani lazima mzigo utoke kiwandani nawe utapata gawio la kuwapatia soko n.k
 
Pole Muuza pussy!
Mkuu,kwani Pussy si yake?Aliuza si yake?Go sell your ass ndio modern deal kwa wanaotaka urahisi wa maisha.Topic yangu haikuhitaji kufikia huku watu kama nyie na stress zenu manawanyima watu fursa ya kujifunza kwani ule uzi wa kula demu kimasihara hujauona?

Watu tuko kazini unaleta dharau.Huna adabu unastahili kudharaulika na kuanzia sasa you are on my ignore list kwa sababu mimi hapa natafuta wateja na wewe unaleta sentiments zako za kijinga huoni kama ni ushamba tu?Umepata nini?Umejfunza nini?Unapoteza muda,mb na akili yako.

Nenda kajenga maisha yako.Dissapointed Ningekuwa mod ningekupa ban ya maisha
 
Mkuu,kwani Pussy si yake?Aliuza si yake?Go sell your ass ndio modern deal kwa wanaotaka urahisi wa maisha.Topic yangu haikuhitaji kufikia huku watu kama nyie na stress zenu manawanyima watu fursa ya kujifunza kwani ule uzi wa kula demu kimasihara hujauona?Watu tuko kazini unaleta dharau.Huna adabu unastahili kudharaulika na kuanzia sasa you are on my ignore list kwa sababu mimi hapa natafuta wateja na wewe unaleta sentiments zako za kijinga huoni kama ni ushamba tu?Umepata nini?Umejfunza nini?Unapoteza muda,mb na akili yako.

Nenda kajenga maisha yako.Dissapointed Ningekuwa mod ningekupa ban ya maisha
Usinililie mimi sio babako!!
 
Usinililie mimi sio babako!!
Wewe una stress,Ingekuwa chat ningekutoa ila kwa sababu ni thread nitakwambia kitu kimoja.Mama yako alikuwa kahaba ndo ukapatakina wewe.Kama huamni jaribu kujipima wewe.watoto waliozaliwa na makahaba huwa wanafikiri wanawake wote ni kama mama zao.All in All Mimi nafikiriunahitaji kuambiwa ukweli kwamba maisha ni mafupi sana huhitaji kuweka watu moyoni.Just let GO and LIVE your life.Maisha ni mafupi sana.Jifunze kutambua kwamba hatufanani na kama wewe huchukulii serious unachoweka humu.Wengine huwa tunachukulia serious na tunataka watu wajifunze.Huwezi jua huu uzi umesaidia watu wangapi ila comment zako zinaharibu.Ni ombi tu ila.You are a badass.
 
Hakuna biashara bila mtaji. Labda tuite kubangaiza ila kama mtaji huna wewe hufanyi biashara na sio mfanyabishara. Kwanza biashara ni nini na ina sifa gani? Ukijibu hili utajua kuwa hakuna biashara isiyo na mtaji.
 
Back
Top Bottom