Aise nimetafakari comment yako nimetamani uongezee na ufunguke zaidi kwenye haya maelezo yako ili nijifunze zaidi. Niliwahi kumsikia mtu anasema "work smart not hard" kuna namna naona hiyo statement inaendana na ulichoandika.Jamani hii ya kuanza bila mtaji mie ni muumini...kiukweli sio lazima biashara uanze na mtaji..kama ulovyosema mtaji ni kuwa Na muda na akili hili ndo wengi tunafeli hapa!
Sema tukitoa ushuhuda tutaitwa mamotivesheno supika 😒
Sio kweli mjomba hata hiyo inahitaji mtaji muuzaji atatakiwa ale ili aende akaiuze, nguvu ya kutafuta wateja ambayo ataipata kwenye chakula, avae, muda.Labda biashara ya pu.ssy ndio haitaji mtaji
Niliandika jion nikafuta .Aise nimetafakari comment yako nimetamani uongezee na ufunguke zaidi kwenye haya maelezo yako ili nijifunze zaidi. Niliwahi kumsikia mtu anasema "work smart not hard" kuna namna naona hiyo statement inaendana na ulichoandika.
Jamani hii ya kuanza bila mtaji mie ni muumini...kiukweli sio lazima biashara uanze na mtaji..kama ulovyosema mtaji ni kuwa Na muda na akili hili ndo wengi tunafeli hapa!
Sema tukitoa ushuhuda tutaitwa mamotivesheno supika 😒
Point kubwaa saaana. Kumeibuka mtindo wa vijana hapa jukwaani kila ukieleza jinsi ya vijana kujiajiri bila kuwa na mtaji kwa kuanzia chini,wanakupachika u-motivetion spiker. Vijana wengi siku hizi wame-focus kwenye kuajiriwa tu.Jamani hii ya kuanza bila mtaji mie ni muumini...kiukweli sio lazima biashara uanze na mtaji..kama ulovyosema mtaji ni kuwa Na muda na akili hili ndo wengi tunafeli hapa!
Sema tukitoa ushuhuda tutaitwa mamotivesheno supika [emoji19]
Yes mkuu bila afya basi hakuna kitu...ntakuja tuchat kesho kule nikuambie ss hv niko wap ..mie siwazag mtaji kbs ..yaan siwaz ...akili tu ...Point kubwaa saaana. Kumeibuka mtindo wa vijana hapa jukwaani kila ukieleza jinsi ya vijana kujiajiri bila kuwa na mtaji kwa kuanzia chini,wanakupachika u-motivetion spiker. Vijana wengi siku hizi wame-focus kwenye kuajiriwa tu. Wakati kujiajiri ni mtu kuamua kwa dhati wewe mwenyewe na ukubali kuanzia chini. Mara nyingi vijana wangu nawafundisha vijana wangu kwamba mtaji wa mtu ni afya yake njema
Niliandika mishe zote nazofanya na zote nilianza na 0 cents nikaona ujinga huu nimejichokea nalala .Hapana mkuu we fungua moyo na sisi tuokote chochote kitujenge.
Hatutakuita Motivesheni sipika😀
Pole Muuza pussy!Usinizoee koma mbweha wa kike ww
So what?Niliandika mishe zote nazofanya na zote nilianza na 0 cents nikaona ujinga huu nimejichokea nalala .
+Je unajua yanakopatikana hayo mabegi na bei zake na sifa zake na utofauti wake?
+Je unajua walipo wateja wa mabegi na bajeti zao na mahitaji yao?
+Je unajua kwa wastani utauza mabegi mangapi kwa siku,wiki au mwezi na utauza kwa bei gani?
Hii ni PURE RESEARCHJe unatarajia kupata faida kiasi gani kwa kila begi?
Nashukuru kwamba wewe umeelewa comment yangu.Nataka watu waamke.Wapambane kujenga passion zao waache visingizio.Maisha sio raihisi hivo.hata nikikuajiri lazima uzalishe zaidi ya mshahara wako ili nione kwamba una thamani.Tuambiane ukweli.+
+
+
Hii ni PURE RESEARCH
Kwamba hii Reserch yote unaikamilisha by less than 1.0 Tzs.
Mkuu,kwani Pussy si yake?Aliuza si yake?Go sell your ass ndio modern deal kwa wanaotaka urahisi wa maisha.Topic yangu haikuhitaji kufikia huku watu kama nyie na stress zenu manawanyima watu fursa ya kujifunza kwani ule uzi wa kula demu kimasihara hujauona?Pole Muuza pussy!
Usinililie mimi sio babako!!Mkuu,kwani Pussy si yake?Aliuza si yake?Go sell your ass ndio modern deal kwa wanaotaka urahisi wa maisha.Topic yangu haikuhitaji kufikia huku watu kama nyie na stress zenu manawanyima watu fursa ya kujifunza kwani ule uzi wa kula demu kimasihara hujauona?Watu tuko kazini unaleta dharau.Huna adabu unastahili kudharaulika na kuanzia sasa you are on my ignore list kwa sababu mimi hapa natafuta wateja na wewe unaleta sentiments zako za kijinga huoni kama ni ushamba tu?Umepata nini?Umejfunza nini?Unapoteza muda,mb na akili yako.
Nenda kajenga maisha yako.Dissapointed Ningekuwa mod ningekupa ban ya maisha
Kwa biashara ganiMi nilianza na mtaji wa 9500/=
Wewe una stress,Ingekuwa chat ningekutoa ila kwa sababu ni thread nitakwambia kitu kimoja.Mama yako alikuwa kahaba ndo ukapatakina wewe.Kama huamni jaribu kujipima wewe.watoto waliozaliwa na makahaba huwa wanafikiri wanawake wote ni kama mama zao.All in All Mimi nafikiriunahitaji kuambiwa ukweli kwamba maisha ni mafupi sana huhitaji kuweka watu moyoni.Just let GO and LIVE your life.Maisha ni mafupi sana.Jifunze kutambua kwamba hatufanani na kama wewe huchukulii serious unachoweka humu.Wengine huwa tunachukulia serious na tunataka watu wajifunze.Huwezi jua huu uzi umesaidia watu wangapi ila comment zako zinaharibu.Ni ombi tu ila.You are a badass.Usinililie mimi sio babako!!