Kwanini unga hauwadhuru wasanii wa Majuu?

Ha ha ha ha umetisha mkuu.
 
Tatizo unafanya Maamuzi kubase katika Speculation tu!! iko kipande cha 50 kushukiwa anasniff cocaine alikua Zagerb Coroatia!! alionekana ameinama katika meza akiwa amezungukwa na wenzake... ila huwezi kuconclude moja kwa moja ni mtumiaji wa cocaine....

kuhusu suala kama wauzaji wa cocaine nao ni watumiaji apo pia ni conclusive judgement unajuaje kama anatumia... japo watumiaji wengi hua hawakubali hadharani kama ni watumiaji ila Cocaine haimfichi mtu... ukianza kuvuta tu madhara yake yataonekana tu!! ata uwe unakula kuku mayai nyama madiko diko ila utaisha tu!!
 
Kwenye kifo shetani huwa hana upendeleo kwasababu anacho fanya ni kukupatia tu usafiri wa kuondokea,iwe ni kwa madawa ya kulevya,wizi,kuji toa uhai,ulevi n.k kwani katika hayo utakuwa ni mfuasi wake mtiifu una ondoka lini ni swala la kujipangia mwenyewe, hakuna walio kufa zamani tu na hata sasa wana kufa duniani kote kwa haya haya madawa ni siku utakayo jioverdose tu moyo ukazidiwa nguvu wala kina Whitney si wa zamani walikufa kina Elvis Plesley, Jimmy Hendricks na Merylin Monroe ni vifo vya aibu wanakufa wengi majina huta yasikia yote,pamoja na hayo wale kule tofauti na hawa wale wana uwezo wa kifedha wa kubadili Damu inapo chafuka (blood transfusion) hawa wakwetu uwezo huo haupo,wale wana tumia lishe na suppliments hawa jamaa zetu ni biskuti na fanta,kwa kiasi nadhani ina kidhi uelewa wako.
 

Coca ukiona inavutwa ujue ni crack, coka tunasniff mkuu hatuvuti
 
Sawa Mkuu... nilikua namaanisha kusniff ila asante kwa kunirekebisha mkuu!!
Afu cocaine kwa gram ni 150,000 kitaa wasanii wengi wanaishia kutumia ile crack ya buku 5 ambayo ndio inachizisha kinoma, kama ray c alivyobambwa na mateja sidhani kama kwenye lile kundi la walalahoi kuna anaeweza kununua gram 150k so nadh9ani ilikuwa ni crack coke pale Tena kwa level ile ya addiction I think gram haitoshi bali ni 8 ball ya kuanzia 500,000 ndo itakidhi mahitaji kama hawatatumia crack, teja yupi yupo tayari kutoa 500k kwa siku
 
Kale Katoto ka home alone... Kheee yupo hoi
 
mpotezee huyo atakusumbua kwenye tuzo za mtv kama sikosei ni 2013 or 2014 mwenyewe eminem alikiri kutumia dmx kupitia bet alikuwa anaomba msaada yupo hovyo yy anafikir sisi hatuwajui hao na wote wanakwambia cocain music
Yaani anasema mtu yupo clean Kwa miaka8sasa anakuwa Shia sio unga lakini hakwambii tatizo [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji78] [emoji78] nimempotezea hata mie
 
OK na mm NAANza kutumia ya kipimo
 

Wanasema unga wa bongo ni mtamu mno, ukilamba kidogo huwezi ach hivi hivi lazima ufe nao. Vipi, kwani uko katika harakati za kupima unga upi ni bora ili ujikite huko nini?
 
Swali langu naulizia kwamba 50 Cent bado anatumia Crack Cocaine au atumii. Maana interview nyingi anaojiwa lakini uwa akuna jibu la Ukweli.
Jibu kwa anayejua
 
Swali langu naulizia kwamba 50 Cent bado anatumia Crack Cocaine au atumii. Maana interview nyingi anaojiwa lakini uwa akuna jibu la Ukweli.
Jibu kwa anayejua
Crack cocaine ya walalahoi .
Broke niggaz in the hood, tajiri na Huyu ni coca tu hizo crack sio level za 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…