Kwanini unga hauwadhuru wasanii wa Majuu?

Michael Jackson alikufaje? Tunaweza kusema over 60% wa ulaya na marekani wanauwawa na madawa ya kulevya.
Michael Jackson alizidisha dawa za kutuliza maumivu na daktari wake aliruhusu hilo ndiyo maana baada ya uchunguzi huyo daktari alishitakiwa na akafungwa. Wasanii wengi wa majuu ni watu wenye uelewa kushinda wa kwetu wa madhara ya mihadarati. Na pia kule kuna huduma bora zaidi za kuwahudumia watu wenye urahibu wa mihadarati tofauti na huku.
 
Pia Jean Claude van damme, anaonekana kazeeka kuliko Chuck Norris. Wakati kiumri Damme kazaliwa mwaka wa1960 Wakati Chuck Norris kazaliwa mwaka wa 1940, sawa na mtu na mwanae.
 
Hahahahahaha mnyarwanda umetisha sana .

urakoze cyane[emoji3]
 
hahhahahahahahahha
 
Fatilia hawa watu Amy Winehouse, Whitney Houston, na mwanae..ilikua vipi halafu utajua unga unafanyaga nini...
 
Whitney alikufa kwa madawa unataka madhara gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…