Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere? Wana chuki naye kiasi hiki

Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
Watume kwa nani, au kukusanyika na hayo majizi ya ccm ndio kumpenda Nyerere? Hata hivyo ni lazima kila mtu kumpenda Nyerere?
 
Wewe unampenda Mdude Nyagali? Mvuta bangi mwenzio
 
Ndio maanake, nyie mnaojifanya mnampenda Nyerere msilazimishe kila mtu kukaa kwenye majukwaa yenu ya kinafiki.
 
Back
Top Bottom