Kwanini usajili wa namba E kwenye magari unakimbia sana?

Eac dereva mpya gari mpya
20220903_125936.jpg
 
Habari wakuu,
Kuna hawa waagiza magari wanaitwa HEDGARS MOTORS niliwapatia pesa ya kuniagizia gari tangu Mwezi wa sita, Ilipofika mwezi wa saba mmiliki wa hiyo ofisi (HEDGAR MSUYA) alipotea hewani na kutokupatikana tena na ofisi wakafunga mpaka hivi sasa bila ya kutoa taarifa zozote kuhusu hela zetu alizochukua kutuagizia magari. Naomba msaada kama kuna yeyote aliye na updates zozote za hii ofisi, au mwenye changamoto kama yangu na hii ofisi. Napokea ushauri kuhusu namna ya kufanya kuhusu hii case.
 
Hao watakuwa wamefeli biashara na pesa yako wamekwisha itafuna. Inawezekana haupo pekee yako katika hilo balaa.

Wengi huwa wanacheza upatu na pesa za wateja. Yaani anapoanza biashara anakuwa anawaagizia wateja kadhaa magari vizuri bila usumbufu ili aje kuwatumia kama reference incase ikitokea mtu anataka kufanya nao biashara na hana imani nao so wanawaweka wa akiba incase mteja mpya atataka ushuhuda.

Halafu ndipo ushubwada unaanza hapo. Unataka gari la milioni 16 hapo limelipiwa kila kitu, unakwenda kujikusanya unapata pesa yote unawapatia cash yote unasubiria tu simu ya kuambiwa gari yako ipo tayari tukuletee wapi au utakuja kuichukua mwenyewe ofisini kwetu.

Wakishapewa million 16 wanapoagiza wanalipia kwa instalments yaani atalipa kama sio 50% basi hata 25% ya pesa yote. The remaining amount anakwenda fanyia mambo yake ya kampuni kama kulipa kodi ya ofisi, kulipa mishahara, au matumizi yake binafsi na familia.

Mteja alieagiza gari ambayo inatakiwa kuingia wiki hii atajaziwa pesa na mteja mpya ambaye atakuja kuagiza gari wiki ijayo. Hapo tayari upatu unaanza ni mwendo wa kuziba mashimo tu hapo hadi siku hela zigome ndipo mteja kama ww unashituka gari umelipia kila kitu unasubiria kuambiwa ukachukue jamaa wanakurusha hadi miezi mitatu utadhani gari inakuja kwa meli kutoka marekani.

So nakushauri anza kuwatafuta wewe binafsi mguu kwa mguu hadi ujue wapo wapi na ikibidi kakate kabisa RB polisi. Ili uweze wawajibisha kama wameleta ujinga wowote na pesa yako.
 
Daah umenifungua jambo[emoji28]

Na wale wa kulipia 50% nyingine wanasema unaweza kulipa kidg kdg kwa mwaka mzima inakuaje
 
Ahsante sana kwa ushauri mkuu. Nitaufanyia kazi.
 
Habari wakuu,
Kuna hawa waagiza magari wanaitwa HEDGARS MOTORS niliwapatia pesa ya kuniagizia gari tangu Mwezi wa sita, Ilipofika mwezi wa saba mmiliki wa hiyo ofisi (HEDGAR MSUYA) alipotea hewani na kutokupatikana tena na ofisi wakafunga mpaka hivi sasa bila ya kutoa taarifa zozote kuhusu hela zetu alizochukua kutuagizia magari. Naomba msaada kama kuna yeyote aliye na updates zozote za hii ofisi, au mwenye changamoto kama yangu na hii ofisi. Napokea ushauri kuhusu namna ya kufanya kuhusu hii case.

Ungeenda ofisi za Beforward wala leo usingekua unalia
 
Habari wakuu,
Kuna hawa waagiza magari wanaitwa HEDGARS MOTORS niliwapatia pesa ya kuniagizia gari tangu Mwezi wa sita, Ilipofika mwezi wa saba mmiliki wa hiyo ofisi (HEDGAR MSUYA) alipotea hewani na kutokupatikana tena na ofisi wakafunga mpaka hivi sasa bila ya kutoa taarifa zozote kuhusu hela zetu alizochukua kutuagizia magari. Naomba msaada kama kuna yeyote aliye na updates zozote za hii ofisi, au mwenye changamoto kama yangu na hii ofisi. Napokea ushauri kuhusu namna ya kufanya kuhusu hii case.

Ila watanzania tuna ujinga mwingi iv mtu unashindwa kuingia beforwad uchague gari uchart nao kwa email tena una negotiate gari inapunguzwa bei
Wanakupa ac za kulipia nenda crdb watakupa muongozo namna ya kuilipia
Lipia gari yako mwenyewe kaa na doc then tafuta kampun ya clearing unayoiamin ifatilie tra malipo ya kodi wakupe doc ukalipie mwenyewe tra
Then mpelekee doc za malipo ye unamlipa gharama yake ya kukutolea tu gari mnakuwa mmemalizana hajashika hela yako ya gari hata sh 10
Why mna risik kuwapa watu wawaagizie magari while sio zoez gumu kuagiza mwenyewe?
 
Watu wanalazimishwa kutapeliwa makusudi kabisa.
 
Habari wakuu,
Kuna hawa waagiza magari wanaitwa HEDGARS MOTORS niliwapatia pesa ya kuniagizia gari tangu Mwezi wa sita, Ilipofika mwezi wa saba mmiliki wa hiyo ofisi (HEDGAR MSUYA) alipotea hewani na kutokupatikana tena na ofisi wakafunga mpaka hivi sasa bila ya kutoa taarifa zozote kuhusu hela zetu alizochukua kutuagizia magari. Naomba msaada kama kuna yeyote aliye na updates zozote za hii ofisi, au mwenye changamoto kama yangu na hii ofisi. Napokea ushauri kuhusu namna ya kufanya kuhusu hii case.
Mpare kashapiga mtu
 
Back
Top Bottom