Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,369
- 3,800
Ila mbona kesi za ulawiti kaskazini anawapiku hata waliokua wanashikilia hizo nafasi muda mrefu,,,,,huko kuna wadudu na mambo ya mombasa yanashika kasiTakwimu zinaonyesha na ukweli unadhihirisha kwamba vitendo vya kishoga nchini Tanganyika ni vichache kuliko ilivyo nchini Zanzibar, hadi kufikia hatua ya kukemewa na viongozi wa dini wanaokerwa na tabia hizi chafu.
View attachment 3168326
Tazama jinsi mashoga yanavyofanya shughuli zao na kujinadi hadharani bila kushughulikiwa. Sio viongozi wa dini wala serikali inayochukua hatua kukomesha vitendo hivi.
View attachment 3168338
Imefikia hatua hadi mashoga wamejipenyeza kwenye tasnia ya utumbuizaji na watu wanafurahia kazi zao za sanaa licha ya kuonyesha ushoga wao kinaghaubaga. Kwa kweli inasikitisha na inahudhunisha sana. Mungu atufanyie wepesi atunasue kutoka kwenye kadhia hii.
View attachment 3168343
Sababu zinazopelekea hali hii kuwa kama ilivyo bado hazijawahi kutolewa majawabu na wanazuoni. Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu hadi wameshindwa kabisa kudhibiti vitendo vya kishoga kwenye nchi yao wamebaki kuilaumu Tanganyika kuwa chanzo cha mashoga. Sasa walitarajia Tanganyika iwasaidie kupambana na mashoga kwenye nchi yao?
Lakini kwa upande mwingine Tanganyika imesababisha matatizo makubwa sana kwa Zanzibar pale ilipolizuia koloni lake hili kujiunga na OIC. Kama Zanzibar wangejiunga na OIC huenda uchafu huu ungepungua au ungetokomezwa kabisa kwenye nchi yao kwa kushirikiana na nchi rafiki za kiarabu.