Maeneo yote kulikokuwa na waarabu wengi, ushoga umeshamiri sana, Zanzibar, Mombasa, Tanga.
Nilishangaa nilipoenda Zanzibar, kijana muongozaji watalii, ananiambia kuwa watalii wazungu wakifika Zanzibar wanataka ku-enjoy sana, na wao wanahakikisha wateja wao wanapata chochote wanachotaka. Nikamwuliza kupata ufafanuzi, ndipo akasema kuwa wengine wakifika tu wanataka wanataka mabinti. Nikamwuliza kuwa wanafanikiwa kuwapata ukizingatia Zanzibar ina watu wachache, na practically ni kama nchi ya kiislam. Akasema wanawake wapo wengi sana, umri wowote utakaotaka. Hawapo mabarabarani kwa sababu wanaogopa, ila malaya ni wengi sana. Akasema ukitaka waafrika tiii, wapo. Ukitaka mashombe wa kiarabu, wapo wengi sana, japo wengine wanataka wazungu tu kwa hofu kuwa waafrika watawatangaza.