Kwanini ushoga ni mwingi Zanzibar kuliko Tanzania Bara?

Wazungu watalii,ndio kichecheo kikubwa cha ushoga,miji yenye beach nzuri na za uhakika,zinakuwa nq ushoga kutokana na utalii,ukiangalia,Mombasa,Unguja(sio Pemba),Visiwa vya Hawaii,nk
 
Hayo mashoga yapo mkuu
Wenyewe watamchapa mtu anaekula mchana wa Ramadan ila mashoga yamejaa
Kuna fukwe (beach),nzuri duniani katibia 25,ziko Mecico,ziko Brazil,Cuba nk,hizo zote zina mashoga wengi sana,kutokana na utalii.Watalii wakizungu ndio wanaonezq ushoga,hata maeneo yenye mbuga za wanyama,pia ushoga uko sana,ila wanafanya siri sana.
 
Sio zanzibar tu sema kwanini ushoga umeshamiri miko ya pwani ambako ndiko kuna uislam mwingi? Maana kumpata shoga mara ujikamue kweli kweli
Boss nchi hii kuna stori kibao za wanaume kuolewa na majority wanatoka Arusha, Nchi hii kuna mashoga wengi na majority wanatoka hio hio mikoa yenu, kuna ushahidi kibao ila mnajitoa tu ufahamu.

Huyu yule Kijana wa Arusha aliyeolewa



Unaweza na wewe kuleta Stori kama hii toka Pwani?
 
Bado atatokea mtu apinge hichi ulichoandika hapa ila ukweli ndio huo,watalii wengi wanaoenda zanzibar huwa wanawapenda sana wanawake wa kizanzibar
 
Uarabuni ndiko Chimbuko la ushoga ,uchawi, kupiga Ramli, kusoma nyota, kufuga majini , kutoa makafara ya damu , kuabudu mawe ya vimondo, kuabudu Mwezi ,kuchinja watu kwa kukata shingo na kulazimisha ibada zao kwa nguvu na vitisho. Hata Sodoma na Gomora ilikua huko kwa waarabu.

Kabla ya kuja kwa waarabu Afrika mashariki waafrika waliishi kwa amani na mila zao zilikua nzuri sana . Waarabu walipokuja ndio waliokuja na mambo ya ushoga , uchawi , kufuga majini, kutupia watu majini ,chuma ulete, kuuza wetu, kukata watu shingo kama kuku, kufungua soko la kuuza binadamu kama ngombe , kubaka mabinti wadogo, kuua tembo kinyama na kukata pembe huku wakiacha mizoga yako huko porini . Na kila aina ya unyama usiozingatia utu.


Hayo maujinga na maovu yote yalipungua walipokuja wamisionari na kuleta Elimu na baadae kuja serikali ya mwingereza ambayo kwa kiwango kikubwa iliweka sheria ya kukataza watu kukatwa shingo kwa misingi ya mila za kiarabu, kukataza ulawiti , ubakaji, kuua tembo, kuuza wetu kama mbuzi n.k.
 
Kuna fukwe (beach),nzuri duniani katibia 25,ziko Mecico,ziko Brazil,Cuba nk,hizo zote zina mashoga wengi sana,kutokana na utalii.Watalii wakizungu ndio wanaonezq ushoga,hata maeneo yenye mbuga za wanyama,pia ushoga uko sana,ila wanafanya siri sana.
Ni kweli kabisa,ndio maana ukienda Phuket au Pattaya huko Thailand Kuna mpaka wale wanaoitwa ladyboys kwa kuwa ni miji ya pwani..jiulize kwa Nini?
Ni kwa sababu ya utalii wa wazungu..
Kwa hiyo wazungu ndio waenezaji wa ushenzi huo na uharibifu
Sasa wazanzibar kwa kutokujitambua wahamasisha utalii Kama fahari ya nchi kumbe ndio wanaongeza kiwango Cha ushoga na ulawiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…