Kwanini ushoga ni mwingi Zanzibar kuliko Tanzania Bara?

Mkuu hizi mambo zishakuwa universal na saa hizi ziko exposed sana bila hata aibu. Kwenye entertainment ndio wanapitia huko Sasa kufanya promotion zao. I feel sorry for the futures
 
Haya mambo ukiamua kujiweka nayo karibu na kuyafuatilia utakutana nayo ila ukiamua kuishi maisha yako hutakutana nayo maisha yako yote
 
Sasa ndio waimbe hadi mashoga mkuu? Wewe unaona sawa tu?
Taarabu ni nyimbo, ushoga ni kitu kingine kbisa. Alafu unatakiwa ujue kuna cultural difference ambayo inakupa shida kuhus wazanzibar. Hivi unajua wanaume wa wazanzibar wanapenda sana kupika?

Kule geto mtu anapiga chapati mwenyewe na anakanda ngano fresh kabisa. Anajipikia mapilau ya korosho safi kabisa anayagonga. Geto anaweka mazaga yote, huku geto halina hata mwko ugali unasongewa na chepe
 
Hili halina ubishi, upo sahihi
 
Tuletee takwimu basi, na chanzo cha takwimu hizo. Naona unaruka ruka tu na hoja ya OIC, unaweza kuianzishia uzi wake hapa unajichanganya tu blaza.
Mkuu hiyo hoja ya OIC nimeitolea ufafanuzi kwenye uzi. Hebu rudia kusoma hasa kwenye conclusion ya uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…