Kwanini ushoga ni mwingi Zanzibar kuliko Tanzania Bara?

Mkuu una uhakika gani kuwa hawa ni wazawa? Hawa ndio wale wanaotoka Zanzibar kuja kufuata watalii Arusha. Kumbuka Arusha ni mji wa kitalii.
 
Reactions: K11
Mkuu una uhakika gani kuwa hawa ni wazawa? Hawa ndio wale wanaotoka Zanzibar kuja kufuata watalii Arusha. Kumbuka Arusha ni mji wa kitalii.
Ukisoma hizo thread zinajieleza kuna hadi binamu za watu humo. Pia Wazanzibari wengi ni wafanyabiashara zaidi kuliko Watu wa utalii, soko la Utalii Znz na hata Arusha halitawaliwi na Wazanzibari, Sex Tourism Znz haifanywi na Wazanzibari.
 
Tanganyika na Zanzibar ni nchi moja mkuu,unaposema tanganyka imeshindwa kuisaidia Zanzibar kukomesha ushoga kidgo unakuwa hujakamilisha matamshi inatakiwa useme kwa nini Tanzania imeshindwa kulipinga hili swala upande wa visiwani na wakati wanaliona likiendelea? Hili jambo kama ndo hivo kweli bac kutakuwa na changamoto yake na kwa nini iwe hvo mpka hadharani namna hii
 
CCM maxhoko wengi sana hata yule aliyekuwa Mwenezi wao sasa hivi ni DC naye ni chakula hadi aliwahi kuolewa kabisa na basha toka Mombasa naye pia ni Mzanzibari
Hee! Nimesikitika sana. Kumbe CCM ni Chama Cha Mashoga (CCM)? Hii nchi wanaipeleka wapi hasa?
 
Hata takwimu za kidunia, mashariki ya kati ndio chanzo cha mambo hayo. Tofauti ya Wazungu na wale wa pale mashariki ya kati ni hi, Wazungu sio wanafiki, mashariki ya kati kama ilivo Zanzibar wana pretend sana, wanaficha sana madhambi yao. Jiulizeni swali hili, yeyote anaekwenda kufanya kazi nchi zote za mashariki ya kati (sina hakika na Iran na Iraqi, hizi sina uzoefu nazo ) lazima upimwe HIV, sasa kama wao ni waaminifu, hawalali na watu ambao sio wenzi wao, why iwe sheria kwa wao kupima ukimwi wageni wao?
 
Ukisoma hizo thread zinajieleza kuna hadi binamu za watu humo. Pia Wazanzibari wengi ni wafanyabiashara zaidi kuliko Watu wa utalii, soko la Utalii Znz na hata Arusha halitawaliwi na Wazanzibari, Sex Tourism Znz haifanywi na Wazanzibari.
wazungu wanakuja ZNZ kuonja flavor ya kimasai, Wamasai wanafumuliwa marinda sana tu.
 
Ushenzi wote huo umeanzia huko znz, kuna laana balaa, kinacho subiriwa ni kuangamizwa kama sodoma na gomora.
 
Ule mwezi ukifika,hao hao wanazunguka mitaani na kauli mbiu,MWANA MKAIDI HAFAIDI ILA SIKU YA IDDY🤣🤣🤣
 
Zenji UROJO MWINGI!
 
Zanzibar ushoga upo kama ulivyo sehemu nyinginezo huku Tanzania bara

Haingii akillini Zanzibar yenye watu 2M iathirike zaidi kuliko Tanzania bara yenye watu 60M+

Kinachofanya Zanzibar isemwe sana ni kutokana na Mila na tamaduni zake za kiislamu.

Maadui wa uislamu wameichukua na kufanya ajenda kuuchafua uislamu

NB
DSM kuna ushoga hiyo Zanzibar ikasome, tena huko telegram imejaa inajitangaza waziwazi.

Ukitaka ujue ni sababu ya udini, angalia komenti za wasiokuwa waislamu katika uzi huu.
 
Makanisani mnaamrishana kua mashoga na kila kafiri ni shoga
 
Aisee🙌

Mungu atusaidie Vizazi vyetu 🙏🙏
Na wengi wanadhani shoga ni mpaka awe legevu kama mlenda wakati wengine ni vijana ngangari kabisa ila hawana ubingwa.

Wale legevu sijui wanaishije mtaani na wazazi wao wanawaonaje aisee, ni huzuni.
 
Na wengi wanadhani shoga ni mpaka awe legevu kama mlenda wakati wengine ni vijana ngangari kabisa ila hawana ubingwa.

Wale legevu sijui wanaishije mtaani na wazazi wao wanawaonaje aisee, ni huzuni.
Kwa kweli inasikitisha sana Mkuu

Ni huzuni Kwa Wazazi
 
Wazungu ndio wanaeneza ushoda pwani yote adi mombasa ukitaja Mombasa unaamanisha Lamu uko umeenea sana ndio ao wanasafiri kuja Mombasa adi Tanga sasa Uko Lamu kumejaaa wazungu wa Italy kama kwao akuna seem yoyote pwani isiyo na Wazungu kukawa na Ushoga wazungu ndio wanaeneza Ushoga sio tu Tanzania lkn africa yate na Dunia mfano chunguzeni ktk Afrika nchi ngapi zimeruusu Sheria za Ushoga ukizipata check idadi ya Wazungu utagundua niwengi ichi ambazo azina Sheria ya Ushoga ujue azina Mwingiliano mkubwa na Wazungu. Zanzibar utalii ndio Uchumi lkn mwisho tutajutia kama Taifa awa Wazungu wanatakiwa kuchunguzwa sana waje lkn iwepo Idala ya kuwachunguza sana sana izi Hotel za Dar zipo pembezoni na Bahari wamasai wengi wamealibiwa na Wazungu mzungu anakuja anaongea na Meneja anataka Masai anatoa dolla ef2000 anazoeshwa apo mwisho masai mwenyewe anauliza kwa Meneja ata w dolla 200 nitampa. Inasikitisha lkn ni jukum la Serikali yetu kuchunguza kwa kina ili swala sio la kidini mipambuvu mijinga inataka kuonesha jambo ili linausiano na Dini afrika kusini nikama nchi ya Cristian lkn imeruusu Ushoga tatizo sio Dini Cristini au Islamic tatizo ni Wazungu wanaeneza Ushoga awachagui Dini yako wao wapo kwenye Program yao yakuzuiya watu wasizaliane wanatumia kila mbinu kufikia lengo lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…