Kwanini usikubali kukutana na rafiki zake wakati bado unamtongoza

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2023
Posts
382
Reaction score
687
Ni muhimu kujua mapema kama mwanamke anakutaka au la.

Utalijua hilo kutokana na tabia anazoonesha kuashiria amevutiwa na wewe au la. Kupata namba yake ni jambo la kawaida, lakini sio kiashiria kuwa mwanamke ndo amekukubali. Unapoongea naye kazi yako ni kumpima je amevutiwa na wewe kiasi gani?

Mwanamke aliyevutiwa nawe atafanya mchakato wa mapenzi kuwa rahisi. Atataka muda mwingi muwe wawili nyie pamoja.

Ambaye hajavutiwa na wewe atafanya mambo yawe magumu. Atapiga danadana kukutana, mkiwa mnaongea atajifanya bize na mambo mengine. Akiona unalazimisha sana kukutana atatumia njia ya kukutana nae pamoja na marafiki zake ili usiwe na uhuru. Hasa mkiwa ndo mnaanza mahusiano.

Ila mkiwa wapenzi/ wanandoa unaweza kutana na marafiki zake. Wanawake hupenda kuilinda hadhi yao.
Akiwa na wenzie tabia yake inakua ya tofauti sana kulinganisha mngekua pekeenu. Atawatumia rafiki zake kama kizuizi cha kusongesha mambo mbele. Hamtaweza kuchombezana kwa uhuru au kukukiss akihofia ataonekana rahisi mbele ya rafiki zake.

Pia anaweza kukualika ili marafiki zake wakuthaminishe. Hasa kama alikua bado anajiuliza akukubali au la.
Japo unaweza kukubalika lakini utaongeza uwezekano wa kukataliwa. Moja ya marafiki zake anaweza kuamua tu “mi sijamkubali, amenikumbusha kuhusu Ex wangu” ghafla apo apo na huyo mwanamke unayemtaka akaamua asikupende. Ili asikwaze marafiki zake.

Cha kufanya;

Mwanamke akikuambia mkutane na marafiki zake we mwambie tu kuwa ungependa kukutana na yeye ili ujue kama mtaendana, na sio marafiki zake, hasa kwa sasaivi ambapo sio wapenzi. Hivyo akiwa na nafasi akuambie. Kisha muache. Sababu ameshonesha hana mpango sana na wewe.

Wewe pia usihangaike sana, kuna mwanamke mwingine anakusubiri ambaye atafanya mchakato wa mahusiano yenu kuwa rahisi. Kwanini uhangaike na sehemu ambayo mambo siyo rahisi?

Natumaini umejifunza na nikutakie siku njema katika kulijenga taifa.
 
Mwanamke aliyevutiwa nawe atafanya mchakato wa mapenzi kuwa rahisi.

Atataka muda mwingi muwe wawili nyie pamoja.

Ambaye hajavutiwa na wewe atafanya mambo yawe magumu. Atapiga danadana kukutana, mkiwa mnaongea atajifanya bize na mambo mengine. Akiona unalazimisha sana kukutana atatumia njia ya kukutana nae pamoja na marafiki zake ili usiwe na uhuru.
Hasa mkiwa ndo mnaanza mahusiano.

Ila mkiwa wapenzi/ wanandoa unaweza kutana na marafiki zake.

Wanawake hupenda kuilinda hadhi yao.
Akiwa na wenzie tabia yake inakua ya tofauti sana kulinganisha mngekua pekeenu. Atawatumia rafiki zake kama kizuizi cha kusongesha mambo mbele. Hamtaweza kuchombezana kwa uhuru au kukukiss akihofia ataonekana rahisi mbele ya rafiki zake.

Pia anaweza kukualika ili marafiki zake wakuthaminishe.
Hasa kama alikua bado anajiuliza akukubali au la.
Japo unaweza kukubalika lakini utaongeza uwezekano wa kukataliwa. Moja ya marafiki zake anaweza kuamua tu “mi sijamkubali, amenikumbusha kuhusu Ex wangu” ghafla apo apo na huyo mwanamke unayemtaka akaamua asikupende. Ili asikwaze marafiki zake.

Cha kufanya.
Mwanamke akikuambia mkutane na marafiki zake we mwambie tu kuwa ungependa kukutana na yeye ili ujue kama mtaendana, na sio marafiki zake, hasa kwa sasaivi ambapo sio wapenzi. Hivyo akiwa na nafasi akuambie. Kisha muache.
Sababu ameshonesha hana mpango sana na wewe.
Wewe pia usihangaike sana, kuna mwanamke mwingine anakusubiri ambaye atafanya mchakato wa mahusiano yenu kuwa rahisi.
Kwanini uhangaike na sehemu ambayo mambo siyo rahisi?

Natumaini umejifunza na nikutakie siku njema katika kulijenga taifa.
Hiyo njia ilinikosanisha na binti ambaye mpaka leo anajuta. Nilimpenda wakati huo huo akija gheto anakuja na marafiki kama 5 hivi. Nikimuomba mzigo yeye anakataa ati mpaka ndoa. Nikamweleza kuwa nitachukua rafiki yake, akabisha. Baadaye ikawa ni lawama hadi leo hii.
 
Sii ungewapiga sixsome mzeya walishaingia hadi gheto walikuwa tayari kuliwa hao
 
Kijana umeongea ukweli, lakini bila PESA narudia tena bila PESA hakuna mwanamke atakupenda kwa dhati kwa kizazi cha leo.
Huu ujinga ndio unawagharimu wengi akiwemo Dr. Mwezi 🤣🤣🤣! Who told you mapenzi yanakuwepo kwenye hela tu?

Wapo wanawake wanapenda personality yako, ukarimu, uchangamfu na hayo yote hayana uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wako kifedha.

Tafteni hela kwa nguvu kisha muoe malaya mkiamini mnapendwa.
 
Ni muhimu kujua mapema kama mwanamke anakutaka au la.

Utalijua hilo kutokana na tabia anazoonesha kuashiria amevutiwa na wewe au la. Kupata namba yake ni jambo la kawaida, lakini sio kiashiria kuwa mwanamke ndo amekukubali. Unapoongea naye kazi yako ni kumpima je amevutiwa na wewe kiasi gani?

Mwanamke aliyevutiwa nawe atafanya mchakato wa mapenzi kuwa rahisi. Atataka muda mwingi muwe wawili nyie pamoja.

Ambaye hajavutiwa na wewe atafanya mambo yawe magumu. Atapiga danadana kukutana, mkiwa mnaongea atajifanya bize na mambo mengine. Akiona unalazimisha sana kukutana atatumia njia ya kukutana nae pamoja na marafiki zake ili usiwe na uhuru. Hasa mkiwa ndo mnaanza mahusiano.

Ila mkiwa wapenzi/ wanandoa unaweza kutana na marafiki zake. Wanawake hupenda kuilinda hadhi yao.
Akiwa na wenzie tabia yake inakua ya tofauti sana kulinganisha mngekua pekeenu. Atawatumia rafiki zake kama kizuizi cha kusongesha mambo mbele. Hamtaweza kuchombezana kwa uhuru au kukukiss akihofia ataonekana rahisi mbele ya rafiki zake.

Pia anaweza kukualika ili marafiki zake wakuthaminishe. Hasa kama alikua bado anajiuliza akukubali au la.
Japo unaweza kukubalika lakini utaongeza uwezekano wa kukataliwa. Moja ya marafiki zake anaweza kuamua tu “mi sijamkubali, amenikumbusha kuhusu Ex wangu” ghafla apo apo na huyo mwanamke unayemtaka akaamua asikupende. Ili asikwaze marafiki zake.

Cha kufanya;

Mwanamke akikuambia mkutane na marafiki zake we mwambie tu kuwa ungependa kukutana na yeye ili ujue kama mtaendana, na sio marafiki zake, hasa kwa sasaivi ambapo sio wapenzi. Hivyo akiwa na nafasi akuambie. Kisha muache. Sababu ameshonesha hana mpango sana na wewe.

Wewe pia usihangaike sana, kuna mwanamke mwingine anakusubiri ambaye atafanya mchakato wa mahusiano yenu kuwa rahisi. Kwanini uhangaike na sehemu ambayo mambo siyo rahisi?

Natumaini umejifunza na nikutakie siku njema katika kulijenga taifa.
Content ni 100% but title umeikosea, ilitakiwa iwe "Utajuaje amevutiwa na wewe?"
 
Back
Top Bottom