Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Kwani na nyie si mnatoa hela kulingananna kiwango au😅😅Kwa hiyo unapewa shoo kulingana na kiwango cha pesa yako? 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani na nyie si mnatoa hela kulingananna kiwango au😅😅Kwa hiyo unapewa shoo kulingana na kiwango cha pesa yako? 😅
We jamaa bwana kama ni pisi kali nashauri akiita rafiki zake komaa tuu ukimgonga tu mblockNi muhimu kujua mapema kama mwanamke anakutaka au la.
Utalijua hilo kutokana na tabia anazoonesha kuashiria amevutiwa na wewe au la. Kupata namba yake ni jambo la kawaida, lakini sio kiashiria kuwa mwanamke ndo amekukubali. Unapoongea naye kazi yako ni kumpima je amevutiwa na wewe kiasi gani?
Mwanamke aliyevutiwa nawe atafanya mchakato wa mapenzi kuwa rahisi. Atataka muda mwingi muwe wawili nyie pamoja.
Ambaye hajavutiwa na wewe atafanya mambo yawe magumu. Atapiga danadana kukutana, mkiwa mnaongea atajifanya bize na mambo mengine. Akiona unalazimisha sana kukutana atatumia njia ya kukutana nae pamoja na marafiki zake ili usiwe na uhuru. Hasa mkiwa ndo mnaanza mahusiano.
Ila mkiwa wapenzi/ wanandoa unaweza kutana na marafiki zake. Wanawake hupenda kuilinda hadhi yao.
Akiwa na wenzie tabia yake inakua ya tofauti sana kulinganisha mngekua pekeenu. Atawatumia rafiki zake kama kizuizi cha kusongesha mambo mbele. Hamtaweza kuchombezana kwa uhuru au kukukiss akihofia ataonekana rahisi mbele ya rafiki zake.
Pia anaweza kukualika ili marafiki zake wakuthaminishe. Hasa kama alikua bado anajiuliza akukubali au la.
Japo unaweza kukubalika lakini utaongeza uwezekano wa kukataliwa. Moja ya marafiki zake anaweza kuamua tu “mi sijamkubali, amenikumbusha kuhusu Ex wangu” ghafla apo apo na huyo mwanamke unayemtaka akaamua asikupende. Ili asikwaze marafiki zake.
Cha kufanya;
Mwanamke akikuambia mkutane na marafiki zake we mwambie tu kuwa ungependa kukutana na yeye ili ujue kama mtaendana, na sio marafiki zake, hasa kwa sasaivi ambapo sio wapenzi. Hivyo akiwa na nafasi akuambie. Kisha muache. Sababu ameshonesha hana mpango sana na wewe.
Wewe pia usihangaike sana, kuna mwanamke mwingine anakusubiri ambaye atafanya mchakato wa mahusiano yenu kuwa rahisi. Kwanini uhangaike na sehemu ambayo mambo siyo rahisi?
Natumaini umejifunza na nikutakie siku njema katika kulijenga taifa.
Huu ujinga ndio unawagharimu wengi akiwemo Dr. Mwezi
kubali tu, yeye akikukataa beba rafiki zake!Ni muhimu kujua mapema kama mwanamke anakutaka au la.

Asante umesema vizuri.Huu ujinga ndio unawagharimu wengi akiwemo Dr. Mwezi 🤣🤣🤣! Who told you mapenzi yanakuwepo kwenye hela tu?
Wapo wanawake wanapenda personality yako, ukarimu, uchangamfu na hayo yote hayana uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wako kifedha.
Tafteni hela kwa nguvu kisha muoe malaya mkiamini mnapendwa.
Asante.Content ni 100% but title umeikosea, ilitakiwa iwe "Utajuaje amevutiwa na wewe?"
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa kutumia akili nyingi hivi kwenye jambo la mapenzi ili ugundue nini. Yaani unaanza kujishusha sijui kuogopa nani na nani kisa mapenzi ili iweje! Kama hayakupangwa hayakupangwa tu, wakuthaminishe sijui wakufanyeje maamuzi yakukutaka wewe ni yake hivyo kama anaakili zakushikiwa utakuwa umeshaepusha factor mojawapo ya kuivunja ndoa yako. [emoji23][emoji23][emoji23] yaani unaogopa kujiamini na kuwa huru kisa marafiki zake, haha huo ni ujinga sana kwavijana waleo. Ukikataliwa au ukiachwa kwani unakufa wakati actually ndiyo utakuwa umeokoa muda na uchumi wako ambao ungeharibika kwakuwa na mahusiano na mtu ambaye hajajenga hekima na akili ya kuwa mke au mwanandoa. [emoji23][emoji23][emoji23] marafiki marafiki, [emoji23][emoji23][emoji23] marafiki my foot.Ni muhimu kujua mapema kama mwanamke anakutaka au la.
Utalijua hilo kutokana na tabia anazoonesha kuashiria amevutiwa na wewe au la. Kupata namba yake ni jambo la kawaida, lakini sio kiashiria kuwa mwanamke ndo amekukubali. Unapoongea naye kazi yako ni kumpima je amevutiwa na wewe kiasi gani?
Mwanamke aliyevutiwa nawe atafanya mchakato wa mapenzi kuwa rahisi. Atataka muda mwingi muwe wawili nyie pamoja.
Ambaye hajavutiwa na wewe atafanya mambo yawe magumu. Atapiga danadana kukutana, mkiwa mnaongea atajifanya bize na mambo mengine. Akiona unalazimisha sana kukutana atatumia njia ya kukutana nae pamoja na marafiki zake ili usiwe na uhuru. Hasa mkiwa ndo mnaanza mahusiano.
Ila mkiwa wapenzi/ wanandoa unaweza kutana na marafiki zake. Wanawake hupenda kuilinda hadhi yao.
Akiwa na wenzie tabia yake inakua ya tofauti sana kulinganisha mngekua pekeenu. Atawatumia rafiki zake kama kizuizi cha kusongesha mambo mbele. Hamtaweza kuchombezana kwa uhuru au kukukiss akihofia ataonekana rahisi mbele ya rafiki zake.
Pia anaweza kukualika ili marafiki zake wakuthaminishe. Hasa kama alikua bado anajiuliza akukubali au la.
Japo unaweza kukubalika lakini utaongeza uwezekano wa kukataliwa. Moja ya marafiki zake anaweza kuamua tu “mi sijamkubali, amenikumbusha kuhusu Ex wangu” ghafla apo apo na huyo mwanamke unayemtaka akaamua asikupende. Ili asikwaze marafiki zake.
Cha kufanya;
Mwanamke akikuambia mkutane na marafiki zake we mwambie tu kuwa ungependa kukutana na yeye ili ujue kama mtaendana, na sio marafiki zake, hasa kwa sasaivi ambapo sio wapenzi. Hivyo akiwa na nafasi akuambie. Kisha muache. Sababu ameshonesha hana mpango sana na wewe.
Wewe pia usihangaike sana, kuna mwanamke mwingine anakusubiri ambaye atafanya mchakato wa mahusiano yenu kuwa rahisi. Kwanini uhangaike na sehemu ambayo mambo siyo rahisi?
Natumaini umejifunza na nikutakie siku njema katika kulijenga taifa.
Hawa wanatafuta ngono wakijua ndio mapenzi au msingi wa ndoa[emoji23][emoji23][emoji23], taifa litakufa vibaya hili, ngoja tuone kizazi tutakachokilea kitakuaje maana sisi tumepotea kabisa.Huu ujinga ndio unawagharimu wengi akiwemo Dr. Mwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Who told you mapenzi yanakuwepo kwenye hela tu?
Wapo wanawake wanapenda personality yako, ukarimu, uchangamfu na hayo yote hayana uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wako kifedha.
Tafteni hela kwa nguvu kisha muoe malaya mkiamini mnapendwa.
[emoji1787]Sometimes MTU anafanya danadana ili umuone Ni wife material maana nyie nao hamna jema,mkikubaliwa haraka maneno,mkizungushwa maneno mna NONGWA[emoji23]
Nikubalie haraka mi sina uswahili🤣 wala nongwaSometimes MTU anafanya danadana ili umuone Ni wife material maana nyie nao hamna jema,mkikubaliwa haraka maneno,mkizungushwa maneno mna NONGWA😂
Wee nawajua nongwa lenu wanamme wetu!😂Nikubalie haraka mi sina uswahili🤣 wala nongwa
We mtu mzima mwenzangu waogopa nnWee nawajua nongwa lenu wanamme wetu!😂
Nitakuja na mashosti zangu wawli tunywe Desperado kwanza,ndio nijue Kama wafaa au hufaiWe mtu mzima mwenzangu waogopa nn
Hahahah kumbe sfai hadi unletee wapambeNitakuja na mashosti zangu wawli tunywe Desperado kwanza,ndio nijue Kama wafaa au hufai
Tunatest mitambo😂Hahahah kumbe sfai hadi unletee wapambe
Na hata ukiwa na pesa wewe huwezi pendwa bali pesa zako ndo zitapendwa kwa dhati. Zikiisha tu na yeye anaishia.Kijana umeongea ukweli, lakini bila PESA narudia tena bila PESA hakuna mwanamke atakupenda kwa dhati kwa kizazi cha leo.
Nilidhani upo kwenye ndoa!!😅😅😅😅hebu ngoja usitake niseme neno nionekane sio wife material bure
Kwamba ukiwa na pesa ndo unapendwa kwa dhati au zinapendwa pesa zako?Kijana umeongea ukweli, lakini bila PESA narudia tena bila PESA hakuna mwanamke atakupenda kwa dhati kwa kizazi cha leo.
Atleast kunakuwa na sababu hata ya uwongo ya kukupenda.Kwamba ukiwa na pesa ndo unapendwa kwa dhati au zinapendwa pesa zako?