Kwanini usikubali kukutana na rafiki zake wakati bado unamtongoza

We jamaa bwana kama ni pisi kali nashauri akiita rafiki zake komaa tuu ukimgonga tu mblock
 
kubali tu, yeye akikukataa beba rafiki zake!
 
Asante umesema vizuri.
Mi naamini wanajua hilo ila wanakaza vichwa au wanataniana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa kutumia akili nyingi hivi kwenye jambo la mapenzi ili ugundue nini. Yaani unaanza kujishusha sijui kuogopa nani na nani kisa mapenzi ili iweje! Kama hayakupangwa hayakupangwa tu, wakuthaminishe sijui wakufanyeje maamuzi yakukutaka wewe ni yake hivyo kama anaakili zakushikiwa utakuwa umeshaepusha factor mojawapo ya kuivunja ndoa yako. [emoji23][emoji23][emoji23] yaani unaogopa kujiamini na kuwa huru kisa marafiki zake, haha huo ni ujinga sana kwavijana waleo. Ukikataliwa au ukiachwa kwani unakufa wakati actually ndiyo utakuwa umeokoa muda na uchumi wako ambao ungeharibika kwakuwa na mahusiano na mtu ambaye hajajenga hekima na akili ya kuwa mke au mwanandoa. [emoji23][emoji23][emoji23] marafiki marafiki, [emoji23][emoji23][emoji23] marafiki my foot.
 
Hawa wanatafuta ngono wakijua ndio mapenzi au msingi wa ndoa[emoji23][emoji23][emoji23], taifa litakufa vibaya hili, ngoja tuone kizazi tutakachokilea kitakuaje maana sisi tumepotea kabisa.
 
Sometimes MTU anafanya danadana ili umuone Ni wife material maana nyie nao hamna jema,mkikubaliwa haraka maneno,mkizungushwa maneno mna NONGWAπŸ˜‚
Nikubalie haraka mi sina uswahili🀣 wala nongwa
 
Kijana umeongea ukweli, lakini bila PESA narudia tena bila PESA hakuna mwanamke atakupenda kwa dhati kwa kizazi cha leo.
Na hata ukiwa na pesa wewe huwezi pendwa bali pesa zako ndo zitapendwa kwa dhati. Zikiisha tu na yeye anaishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…