Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Hongera mkuu umechangia kitafiti kabisaBiashara kubwa ya Elon Musk ni magari ya Tesla.
●Hisa za Tesla zomeshuka kwa kiwango kikubwa sana zaidi ya 60% wawekezaji wamepunguza ununuaji wa hisa
●Sababu ya pili ni ushindani mkali kutoka kwa kampuni ya China ya utengenezaji wa magari ya umeme ya BYD ambayo kwa sasa imeizidi Tesla kwenye mauzo
Kuna uwezekano Musk akapunguza 10% ya wafanyakazi wake kwenye viwanda vyake vya magari ya Tesla kwa sababu ya kushuka kwa demand
INGAwa jamaa alikuwa na mpango wa kufungua kiwanda kikubwa kichina sijui ilikuwaje