Tangu lini utajiri wa ndagu ukavutia? Mtu kama Mengi tunajua na wengi wanamfuatilia hustle zake tangu kitambo, Bakhresa anauza migahawa tangu kitambo, same to ndesamburo, Mtei n.k Sasa huko nyanda za juu unashangaa ghafla kijana haeleweki anafanya shughuli gani, kutwa yupo mtandaoni anaonyesha magari, hafanyi kilimo, hachimbi dhahabu, hafanyi biashara inayoeleweka na kujulikana, maana hauwezi kuwa tajiri bila ukubwa wa kile unachokifanya kujulikana, mfano ukiwa mfanyabiashara tajiri utajulikana kupitia biashara yako, ukiwa tajiri mwanasiasa utajulikana shughuli yako, ukiwa tajiri mkulima mashamba na kutwa utakuwa uko shambani, maana mpaka upate utajiri sio lelemama.Sasa huko unakuta kijana hajulikani anafanya shughuli gani mara aunganishe watu jicho la tatu 😀 mara nguvu ya pesa 😀 kutwa kushinda tiktok, IG akipost utajiri usiojulikana chanzo.
NB' huko nyanda za juu ndipo wanapotokea wataalam wa NDAGU 100%