Kwanini utajiri wa watu wa Nyanda za juu Kusini, huwa hauchechemui watu?

ASAS alitajirikia uwindaji pembe za ndovu huko pori la Ruaha miaka hiyo kabla dunia haijadhibiti. Ila badaye akawekeza kwenye tranport, vituo vya mafuta na ufugaji. Hakuna ushirikina pale
Nakumbuka mwaka 2010 tulikutana na Mzee ASAS na vijana wake kwenye seminar ya matumizi ya ruzuku kwa SME'S iliyotolewa na taasisi fulani kwa kushirikiana na serikali. Kwa upande wa nyanda za juu kusini tulikutana Iringa. Nakumbuka aliomba ruzuku ile kukuza uzalishaji wa products za maziwa. Na watoa ruzuku walikuwa wanafadhili 75% ya thamani ya equipments unazozihitaji na kiasi kinachobaki unakitoa mwombaji wa ruzuku. Na sharti ilikuwa lazima u deposit hiyo 25% kwa Suppliers then kiasi kinachobaki wanalipa wao. Mchakato huu ulitick and the rest is history. Watu wanabaki kusema anatumia manyoka. Mzee ASAS na familia yake wamepambana sana kwa mikakati mizito mpaka wanafika hapo.
ASAS alitajirikia uwindaji pembe za ndovu huko pori la Ruaha miaka hiyo kabla dunia haijadhibiti. Ila badaye akawekeza kwenye tranport, vituo vya mafuta na ufugaji. Hakuna ushirikina pale
 
Kwenye shule hakika wanawasomesha sana watoto wao siku hizi, tena shule nzuri kabisa O-levle na A-level
Ipo siku watazagaa kwenye taasisi mbalimbali za serikali, vyombo vya maamuzi na sekta binafsi bila kuacha biashara tutaanza kusema wanatumia ndumba.

Sasa hivi wanapigwa sana na watoza kodi pamoja na ambao wangeweza kuwatetea mahakamani. Walichoamua ni kuwapeleka watoto wao shule ili baadae wawasaidie. Kuna flow kubwa ya watoto wa kikinga kuingia mtaani toka vyuoni.

Kama mali za kishirikina na deal wasingehangaika kuwapeleka watoto wao vyuoni Uingereza, Marekani, Korea na China. Wangewaonyesha waganga wanakopatikana.

Pia Wakinga wanachukua sana mikopo ya kibiashara bank. Na wakichukua wana discipline ya kuzirudisha ili waendelee kuaminika. Kwa wale wenye auditing&accounting firm pamoja na advocacy firm wanaelewa sana hili maana ndio wateja wao pamoja na wachaga.

Na jambo lingine linalowafanya wapige hatua kwa kasi wanashirikiana na kuaminiana sana baina yao. Ni rahisi kwa Mkinga wa Kariakoo kumpa mzigo wa 100M mkinga mwenzie wa Mbeya kwa mali kauli tu akiuza achukue cha juu zingine amrejeshee kwenye account. Hawa jamaa wanakua kwa kasi na kuna mambo ya kuwaiga zaidi ya kuwashutumu kwa ushirikina
 
Hata mali yenyewe hawaikuti. Nitakupa mfano wa Rodrick Mahenge..Kwenye miaka ya 1990s alikuwa ana miliki mabasi ya SAFINA zaidi ya 20 yakisafiri kati ya Dar- Mbeya, Iringa na Songea. Alikuwa ndiye mshindani mkubwa wa Scandinavia. Alikufa mwaka 2000 na watoto wake sikuwaona na chochote
Unaweza ukafirisika kabla hujafa
Ikiwa ni mtu mwenye ufahamu hata kiduchu tu huwezi kushangaa kufisirika kabla hujafa.
 
Ipo siku watazagaa kwenye taasisi mbalimbali za serikali, vyombo vya maamuzi na sekta binafsi bila kuacha biashara tutaanza kusema wanatumia ndumba.

Sasa hivi wanapigwa sana na watoza kodi pamoja na ambao wangeweza kuwatetea mahakamani. Walichoamua ni kuwapeleka watoto wao shule ili baadae wawasaidie. Kuna flow kubwa ya watoto wa kikinga kuingia mtaani toka vyuoni.

Kama mali za kishirikina na deal wasingehangaika kuwapeleka watoto wao vyuoni Uingereza, Marekani, Korea na China. Wangewaonyesha waganga wanakopatikana.

Pia Wakinga wanachukua sana mikopo ya kibiashara bank. Na wakichukua wana discipline ya kuzirudisha ili waendelee kuaminika. Kwa wale wenye auditing&accounting firm pamoja na advocacy firm wanaelewa sana hili maana ndio wateja wao pamoja na wachaga.

Na jambo lingine linalowafanya wapige hatua kwa kasi wanashirikiana na kuaminiana sana baina yao. Ni rahisi kwa Mkinga wa Kariakoo kumpa mzigo wa 100M mkinga mwenzie wa Mbeya kwa mali kauli tu akiuza achukue cha juu zingine amrejeshee kwenye account. Hawa jamaa wanakua kwa kasi na kuna mambo ya kuwaiga zaidi ya kuwashutumu kwa ushirikina
Igweeeeeeeeeeeeeee
 
Kwa wale ninaofahamiana nao binafsi kwa kweli wana nidhamu sana ya pesa, mpaka kuna wakati unawaonea huruma. Ila siku hizi hata nyumba na magari wanazo nzuri kabisa.
 
Hiyo ni changamoto sana na inapelekea hata imani kuwa watu waanatumia nguvu za giza zipate mashiko. Majuzi RC wa Njombe akiongea na wafanyabiashara aliwashangaa kuwa mtu anakufa wanakuta benki ana 500M hadi 600M, lakini maisha yake yalikuwa duni sana na ya kujinyima, hata nyumba tu ni yakuunga unga. Hawa wa hivi wapo ila inawezekana ni exposure ndogo tu ya maisha, wanachojua na kinacho wamotivate ni kutafuta pesa tu bila ya kuweka misingi imara ya hiyo pesa kuendelezwa.
Kwa hali ya kawaida huwezi kuwa na pesa hlf ukaishi maisha ya shida,,hata hao ambao wanahamasisha nidhamu ya pesa,watasema usitapanye katika mambo ya starehe,lkn kama kula yako ni shida,vaa ni shida na kulala ni shida,hakika kuna shida pahala
 
Mbona nimeanza kumsikia Sauli miaka mingi itakuwaje awe na miaka 40? Alipata utajili akiwa Primary school?
Sauli uliyeanza kumsikia ww ni yule wa vipodozi na landmark hotel,huyo ni kweli yupo kwenye game kitambo na alikuwa mbunge wa kipindi kimoja toka 2015 mpaka 2020 rungwe na bado yupo kwenye game

Huyu wa mabasi kaibuka tu from no where😀 mara paap tajiri wa mabasi kibao
 
Hiyo ni changamoto sana na inapelekea hata imani kuwa watu waanatumia nguvu za giza zipate mashiko. Majuzi RC wa Njombe akiongea na wafanyabiashara aliwashangaa kuwa mtu anakufa wanakuta benki ana 500M hadi 600M, lakini maisha yake yalikuwa duni sana na ya kujinyima, hata nyumba tu ni yakuunga unga. Hawa wa hivi wapo ila inawezekana ni exposure ndogo tu ya maisha, wanachojua na kinacho wamotivate ni kutafuta pesa tu bila ya kuweka misingi imara ya hiyo pesa kuendelezwa.
Ni hili tatizo si la Wakinga tu ni karibu waafrika wengi hatuwapitishi watoto wetu tunamopita ili kufikia mafanikio. Ingawa kwa sasa watoto wa kikinga wakiwa likizo unawakuta dukani kwa wazazi wao au kiwandani wakiendelea na shughuli kama ilivyo kwa wahindi.
 
Mimi nijuavyo matajiri wengi wa huku wamepata utajiri wao kwa njia ya kimafia, yaani ujambazi, dhulma, utapeli na umafia wa kila namba ie Fulldose, Achimwene,Sauli, etc shida inakuja pindi wakifa na mali pia hufa coz watoto hawawezi kufanya Dili za kimafia kama za wazazi wao. Pia vifo vingi ukivichunguza kuna kulipana kisasi kutokana na umafia uliofanyika
 
Na huyo mwenye Landmark ndiye mmiliki wa mabasi ya Rungwe na supermarket za S.H. Ammon
Sauli uliyeanza kumsikia ww ni yule wa vipodozi na landmark hotel,huyo ni kweli yupo kwenye game kitambo na alikuwa mbunge wa kipindi kimoja toka 2015 mpaka 2020 rungwe na bado yupo kwenye game

Huyu wa mabasi kaibuka tu from no where😀 mara paap tajiri wa mabasi kibao

Mimi nijuavyo matajiri wengi wa huku wamepata utajiri wao kwa njia ya kimafia, yaani ujambazi, dhulma, utapeli na umafia wa kila namba ie Fulldose, Achimwene,Sauli, etc shida inakuja pindi wakifa na mali pia hufa coz watoto hawawezi kufanya Dili za kimafia kama za wazazi wao. Pia vifo vingi ukivichunguza kuna kulipana kisasi kutokana na umafia uliofanyika
Hii nakubaliana na wewe ni kama wakina Jombi miaka tisini na wengine ambao wako hai na ni matajari hadi leo. Baadhi wamefanya sana biashara za magendo na haramu. Biashara hizi pia ukikiuka masharti ya wenye mfumo kupoteza uhai ni dakika sifuri.
 
Back
Top Bottom