Speaking of this bhana kuna sehemu naifanyia uchunguzi findings zangu zikikamilika ntakuj na majibu humu. Ni person mmoja wa huko nyanda za juu kusiniNimejaribu kujiuliza ni kwanini mautajiri ya watu wa nyanda za juu kusini si utajiri unao sisimua au kuvutia watu wengi tofauti na ule utajiri wa watu kama bakhresa, mengi, ndesamburo, nadhani kinachochefua watu ni ile dhana ya mautajiri ya kichawi na siyo utajiri wa kisomi!
Halafu unaendesha hiyo vxr, mguuni umepiga yebo...raha sana.Nionyeshe huyo mganga NAMI nimikiki Jeep na vxr
Sikubaliani na Habari za uchawi Nadhani ni utajiri usiona formula informal unaotokana na kilimo Cha miti ya mbaoNimejaribu kujiuliza ni kwanini mautajiri ya watu wa nyanda za juu kusini si utajiri unao sisimua au kuvutia watu wengi tofauti na ule utajiri wa watu kama bakhresa, mengi, ndesamburo, nadhani kinachochefua watu ni ile dhana ya mautajiri ya kichawi na siyo utajiri wa kisomi!
Lazima akushangae. Auze miti ya mbao aliyorithi toka babu yake halafu umdai 21M kwa kuongea na kuandika tu hawezi kukuelewa. Haya mambo yanahitaji elimuSikubaliani na Habari za uchawi Nadhani ni utajiri usiona formula informal unaotokana na kilimo Cha miti ya mbao
Ni kweli ukifanya kazi na mkinga kukulipa consultancy fees inayostahili ni ngumu
Kuna mkinga nilimfanyia consultancy flan nikampa invoice ya 21 million alinishangaa NAMI nikamshangaa ilikuwaje akaja mjini na kupata utajiri mkubwa
Kweli mkuuLazima akushangae. Auze miti ya mbao aliyorithi toka babu yake halafu umdai 21M kwa kuongea na kuandika tu hawezi kukuelewa. Haya mambo yanahitaji elimu
Exposure hawana Hawa ndugu zetu labda watabadilika kuendana na wakati na duniaLazima akushangae. Auze miti ya mbao aliyorithi toka babu yake halafu umdai 21M kwa kuongea na kuandika tu hawezi kukuelewa. Haya mambo yanahitaji elimu
Exposure na pesa inahitaji elimu mkuu. Wapo walio na Exposure na bado wanataka ufanye kazi yao cheaply! Sembuse ambaye hana elimu? Si ndio atakuambia nyie ndio mnaoiba kwa kalamu?Exposure hawana Hawa ndugu zetu labda watabadilika kuendana na wakati na dunia
Ndio taarifa iliyopo mitandaoniMbona nimeanza kumsikia Sauli miaka mingi itakuwaje awe na miaka 40? Alipata utajili akiwa Primary school?
Mkuu hii π Siri Kali sana nimekupa ni wewe kuamua kuwa mdukuziHapo umewasingizia
umeona lakini wakinga wanavyoitwa wachawi?πΉπΉπΉ Umeanza.!
Mkubali Yesu uokoke
Vibuyu hao, wanaacha kupambana na njaa zao wana discuss maisha ya watu.!umeona lakini wakinga wanavyoitwa wachawi?
kazi mnayo
nakaziaVibuyu hao
Tutajie matajiri kadhaa walioko kusini ambao utajiri wao haujulikani ulikotoka.Tangu lini utajiri wa ndagu ukavutia? Mtu kama Mengi tunajua na wengi wanamfuatilia hustle zake tangu kitambo, Bakhresa anauza migahawa tangu kitambo, same to ndesamburo, Mtei n.k Sasa huko nyanda za juu unashangaa ghafla kijana haeleweki anafanya shughuli gani, kutwa yupo mtandaoni anaonyesha magari, hafanyi kilimo, hachimbi dhahabu, hafanyi biashara inayoeleweka na kujulikana, maana hauwezi kuwa tajiri bila ukubwa wa kile unachokifanya kujulikana, mfano ukiwa mfanyabiashara tajiri utajulikana kupitia biashara yako, ukiwa tajiri mwanasiasa utajulikana shughuli yako, ukiwa tajiri mkulima mashamba na kutwa utakuwa uko shambani, maana mpaka upate utajiri sio lelemama.Sasa huko unakuta kijana hajulikani anafanya shughuli gani mara aunganishe watu jicho la tatu π mara nguvu ya pesa π kutwa kushinda tiktok, IG akipost utajiri usiojulikana chanzo.
NB' huko nyanda za juu ndipo wanapotokea wataalam wa NDAGU 100%
Vibuyu dabo dabonakazia
eti kisa mtu tajiri halafu anavaa malapa basi ni mchawi, ubahili ni uchawi?
na ni lazima kila tajiri awe maarufu?
imani hizi ndo zinafanya watu kuwa mazuzu
Oya kumbe uko Mbeya mi nipo hapa piaNitakuwa NASOMA bar braza...
Sema hapa nimeamka kidogooo niko ""Ovesiiii""
Halafu pale NASOMA kwa nje kuna mdada mweupe ana saluni, mtoto mtamu balaaaa.
Nikifika pale nitajifanya napita nje ya saluni yake ili anione, aniite, nimpigishe bia, tukumbushie ile yangu mimi na yeye..!!!
#YNWA
Rudi kwenye post yangu uliyoijibu kasome kwa utulivu kuhusu ASAS, mshirikina kijana wewe
Hapo boda panatisha rejea White Hotel, Marambise,Kyando,...etcNjoo Tunduma nikuonyeshe .....
#YNWA