Hili ni tatizo kweli kweli lakini hatuwezi tu kuhitimisha kuwa sababu ni pesa za masharti. Sababu zinaweza kuwa ni tofauti kabisa na pengine kujengewa uelewa kutawabadilisha. Mbona Wakinga webgi sasa hivi wanadrive magari mazuri sana na kukaa majumba mazuri sana , watoto wao wanasoma sana tu. Ni suala la muda tu watapunguza huo mtizamo wao.Wakinga nimeishi nao Mbeya kianzia niko mvulana hadi nazeeka. Ukitaka nikutajie matajiri wa zamani halafu na wewe uniambie mali zao ziko wapi??
Siyo mnabisha tu wakati mkoa wa Njombe ndiyo unaongoza kwa ushirikiana wa kupoteza watu.
Juzi hapa mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka unajuwa alisema nini kuhusu tajiri ana milioni 600 Benki lakini anaishi maisha magumu hadi kupanda bodaboda.
View attachment 3061935