This month before 14 October mikeka yote itakuwa on air Cha muhimu endelea kujifuaAfisa biashara mkeka lini?
Placement au shortlist za interview?This month before 14 October mikeka yote itakuwa on air Cha muhimu endelea kujifua
Mkuu ndo jioni hiiWadau.. Leo Kuna Pdf za Usaili.. Subirini jioni mtaiona mizigo
Mkuu ulikua serious kweli,naona siku ya leo ndio inaelekea ukingoni?Wadau.. Leo Kuna Pdf za Usaili.. Subirini jioni mtaiona mizigo
Labda usiku mnene.Mkuu ulikua serious kweli,naona siku ya leo ndio inaelekea ukingoni?
Itakua, acha tusubiri mida ya wanga. HatuchokiLabda usiku mnene.
Wale wa ruwasa interview bwata itwa lini?Mkeka ule ni mrefu kidogo ila kuna possibility kubwa wiki hii au inayofuata ukaachiwa alisikika jamaa akiongea.
Tuseme inshallah kiongoziKama niliweka kambi ule uzi wa ajira za sensa na nikatoboa peke yangu kwenye nafasi ya tehema kata nzima kati ya washindani 22 naamini siku utumishi wakiniita interview ndo utakua mwanzo wangu wa kuramba asali wakuu .
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha mbali hata sikuitwa kwenye usaili tehama sema nikapotezea tu na siku zikaenda nishasahau kabisaKama niliweka kambi ule uzi wa ajira za sensa na nikatoboa peke yangu kwenye nafasi ya tehema kata nzima kati ya washindani 22 naamini siku utumishi wakiniita interview ndo utakua mwanzo wangu wa kuramba asali wakuu .
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mungu akusimamie, see you at the top.Kama niliweka kambi ule uzi wa ajira za sensa na nikatoboa peke yangu kwenye nafasi ya tehema kata nzima kati ya washindani 22 naamini siku utumishi wakiniita interview ndo utakua mwanzo wangu wa kuramba asali wakuu .
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kiongozi naona leo umetutembelea karibu sana vipi kazini mkuu?ππππππUmenikumbusha mbali hata sikuitwa kwenye usaili tehama sema nikapotezea tu na siku zikaenda nishasahau kabisa
Mkuu umetutembelea karibu sana sikuwahi changia humu ila post zako nilikua nazifatilia sana nikupe pia hongera.Umenikumbusha mbali hata sikuitwa kwenye usaili tehama sema nikapotezea tu na siku zikaenda nishasahau kabisa
Hongera sana kwa kulamba Asali ya Sensa, nguvu sasa zihamishie PSRSKama niliweka kambi ule uzi wa ajira za sensa na nikatoboa peke yangu kwenye nafasi ya tehema kata nzima kati ya washindani 22 naamini siku utumishi wakiniita interview ndo utakua mwanzo wangu wa kuramba asali wakuu .
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Alete mrejesho wa hatua alipofikia maana alisema kuna hatua nyingi hadi zinavuruga kichwaKiongozi naona leo umetutembelea karibu sana vipi kazini mkuu?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
HahahahahaEnzi nilipokuwa Internship, kitaa waliniona nina kazi, ruti za daily kuondoka asubuhi huku nikiwa napishana wengine kulikuwa na kavibe fulani.
Baada ya kumaliza, si nikakaribishwa kitaa sasa[emoji3][emoji3][emoji3] na ujobless ukaanza
Kuna mambo sometimes yanafurahisha sana aiseeHahahahaha
Kiongozi naona leo umetutembelea karibu sana vipi kazini mkuu?ππππππ
Alete mrejesho wa hatua alipofikia maana alisema kuna hatua nyingi hadi zinavuruga kichwa
Wakuu mie jobless tu Kama nyie nilisharipoti makao makuu barua iliponielekeza nikajaza form kibao na copy za vyeti nida na benki kibao then nikaambiwa niende tu nyumbani watanipigia simu eti π€£π€£π€£ nawauliza lini wanasema niende tu Bado sana huu mwezi wa kumi wakaniambia utaisha na hata wa 11 pia so mie nipo kwenye Uzi huu Kila siku na like tu wakuu Sina hata moodMkuu umetutembelea karibu sana sikuwahi changia humu ila post zako nilikua nazifatilia sana nikupe pia hongera.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
mzigo bado hata mm nasubirii.
maana Oral tulipiga ijumaa.
ila tuliambiwa tuwe-tunapitiia website. mda wowote yanatoka kabla ya Oral.
So nikusikiliziiiia tu.
Aisee pole jamani,Yani Kila hatua ni stressWakuu mie jobless tu Kama nyie nilisharipoti makao makuu barua iliponielekeza nikajaza form kibao na copy za vyeti nida na benki kibao then nikaambiwa niende tu nyumbani watanipigia simu eti π€£π€£π€£ nawauliza lini wanasema niende tu Bado sana huu mwezi wa kumi wakaniambia utaisha na hata wa 11 pia so mie nipo kwenye Uzi huu Kila siku na like tu wakuu Sina hata mood