Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama niliweka kambi ule uzi wa ajira za sensa na nikatoboa peke yangu kwenye nafasi ya tehema kata nzima kati ya washindani 22 naamini siku utumishi wakiniita interview ndo utakua mwanzo wangu wa kuramba asali wakuu .

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha mbali hata sikuitwa kwenye usaili tehama sema nikapotezea tu na siku zikaenda nishasahau kabisa
 
Kama niliweka kambi ule uzi wa ajira za sensa na nikatoboa peke yangu kwenye nafasi ya tehema kata nzima kati ya washindani 22 naamini siku utumishi wakiniita interview ndo utakua mwanzo wangu wa kuramba asali wakuu .

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hongera sana kwa kulamba Asali ya Sensa, nguvu sasa zihamishie PSRS
 
Kiongozi naona leo umetutembelea karibu sana vipi kazini mkuu?😁😁😁😁😁😁

Alete mrejesho wa hatua alipofikia maana alisema kuna hatua nyingi hadi zinavuruga kichwa

Mkuu umetutembelea karibu sana sikuwahi changia humu ila post zako nilikua nazifatilia sana nikupe pia hongera.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Wakuu mie jobless tu Kama nyie nilisharipoti makao makuu barua iliponielekeza nikajaza form kibao na copy za vyeti nida na benki kibao then nikaambiwa niende tu nyumbani watanipigia simu eti 🤣🤣🤣 nawauliza lini wanasema niende tu Bado sana huu mwezi wa kumi wakaniambia utaisha na hata wa 11 pia so mie nipo kwenye Uzi huu Kila siku na like tu wakuu Sina hata mood
 
mzigo bado hata mm nasubirii.
maana Oral tulipiga ijumaa.

ila tuliambiwa tuwe-tunapitiia website. mda wowote yanatoka kabla ya Oral.
So nikusikiliziiiia tu.

Wakuu mie jobless tu Kama nyie nilisharipoti makao makuu barua iliponielekeza nikajaza form kibao na copy za vyeti nida na benki kibao then nikaambiwa niende tu nyumbani watanipigia simu eti 🤣🤣🤣 nawauliza lini wanasema niende tu Bado sana huu mwezi wa kumi wakaniambia utaisha na hata wa 11 pia so mie nipo kwenye Uzi huu Kila siku na like tu wakuu Sina hata mood
Aisee pole jamani,Yani Kila hatua ni stress
 
Back
Top Bottom