Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hapo mzee ndo ulipopigwa bao
Alaf mkuu kuna kitu nashindwa kukielewa utumishi ivi mtu wa masters anaombaje kazi za degree za tutorial assistant then kwenye assistant lecturer unamkuta shida huwa ni nn??
 
Alaf mkuu kuna kitu nashindwa kukielewa utumishi ivi mtu wa masters anaombaje kazi za degree za tutorial assistant then kwenye assistant lecturer unamkuta shida huwa ni nn??
Huyo jamaa kweny Ass. Lecturer amefnya pia?
 
In addition to this, pia kuna ma tutorial assistants kwenye taasisi za elimu ya juu zisizokua vyuo vikuu ambao wanafundisha diploma.

Mifano ya taasisi hizi ni:-
NIT, DMI, ATC, CBE, IFM, CAWM, DIT, etc. Hawa hawatumii "ma tutors".
Na hata initial za salary zao zinatofautiana vyuo vikuu kama IDSM, SUA, MUST nk wanatumia PUTS ila kwenye taasisi za elimu ya juu mfano NIT, IFM nk wanatumia PHTS.

kuna mdau aliwai nambia hawa wa PHTS ndio ipo juu kidogo kuliko PUTS sijui ni kweli au maneno tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…