Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Swali gumu sana hili mkuu mie nilijibu walichouliza tu mkuu hata Kama sikijui natunga tu juu kwa juu mkuu
😂😂😂😂Sema ningesomaga mambo ya business panelists wangenikoma sasa shida kwenye kada yangu ni ngumu kudanganya lakini sijawahi kukubali kuwa sijui Bora hata nikudanganye yani
 
😂😂😂😂Sema ningesomaga mambo ya business panelists wangenikoma sasa shida kwenye kada yangu ni ngumu kudanganya lakini sijawahi kukubali kuwa sijui Bora hata nikudanganye yani
Umesoma kada gani
 
Acha tu mkuu ninawakanda ipasavyo🤣🤣 situation niliyonayo ni kua nikikandwa ni Kama nimewakanda na nikiwakanda nimewakanda tu
Sema utumishi ukipata nafasi yakuwakanda wakande kweli kweli yani mpaka washangae
 
Mie nishitwa kazini mkuu ila Bado utaratibu haujakamilika pia Bado nasubr majibu Ya IAE Nilipiga interview pia nasubiri mkeka wa ASA kwenda interview [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pia nasubiri mkeka Wa TRA Yan kifupi utumishi wamedandia mtumbi wa vibengo mkuu[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Leo hii PSRS wadandia mtumbwi wetu.

Naomba kuuliza kwa yeyote anayefahamu:

Eti ukipiga oral kadhaa halafu kati ya hizo oral ukawa umefaulu baadhi ya oral(hapa panel pekee ndio wanaojua), kwenye placement watakupangia nafasi moja tu? au wanaweza kukupangia nafasi zaidi ya moja halafu baadae utachagua mwenye pa kwenda kuripoti?

Aliyewahi kuexperience hiki kitu atupatie muongozo maana hapa tunabet hata kama mtu ushafanya oral, utaendelea kufanya oral zaidi endapo tu kama bado hujapata nafasi(ukiwa bado unasubiri placements)
 
Oral zote utapangiwa placement then utachagua wewe uende wapi
 
😂😂😂😂Ukijichanganya utumishi wanakushangaza yani mpka unajiuliza hizi ni marks zangu kweli au??
Utumishi unatkiwa usome mzee ukienda kichwa kichwa utakandwa kisw sw mpk ujione kama hujaenda shule 🤣🤣
 
Back
Top Bottom