Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Oral zote utapangiwa placement then utachagua wewe uende wapi
Si itakuwa kuziba nafasi bure, sasa ile itakayoachwa wataijaza lini, utakuwa ni upotezaji wa muda pia.

Mimi naona wakupangie sehemu moja uliyowakanda zaidi, zingine uwaachie wengine kwa sababu kama umefanya usahili nafasi hizo zote ina maana kuwa uko interested na ukipangiwa yeyote utaenda
 
Mimi naona wakupangie sehemu moja uliyowakanda zaidi, zingine uwaachie wengine
Hata mie hii ndo nzuri ukipangiwa sehemu moja inakua poa huzibi nafasi za wengine pia inakutolea mawazo ya kuwaza sijui niende Huku au Huku.
 
Si itakuwa kuziba nafasi bure, sasa ile itakayoachwa wataijaza lini, utakuwa ni upotezaji wa muda pia.

Mimi naona wakupangie sehemu moja uliyowakanda zaidi, zingine uwaachie wengine kwa sababu kama umefanya usahili nafasi hizo zote ina maana kuwa uko interested na ukipangiwa yeyote utaenda
Huwa wanatoa siku nadhani 30 kama hujaenda kuchukua barua nakupeleka ofisi uliyopangiwa nafasi hutangazwa tena au kama watu wengine wapo database wanachukuliwa hao
 
Kama hujachukua barua na Wana address Yako mkuu wanakutumia tu labda kama hujalipoti
 
Huwa wanatoa siku nadhani 30 kama hujaenda kuchukua barua nakupeleka ofisi uliyopangiwa nafasi hutangazwa tena au kama watu wengine wapo database wanachukuliwa hao
Wanakosesha watu nafasi bure kabisa kwa mtindo huo. Mtu apangiwe nafasi 1 aliyofanya vizuri zaidi, zingine wapewe wengine waliofaulu pia
 
Back
Top Bottom