ery mendez
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 298
- 626
Amina i receiveWiki inayoanza kesho kutwa j3 placements zinakuwa kwa hewa so tuvute subira tu...... Kabla yq ijumaa mambo yatakuwa yamekwiva na miongozi mwetu hapa watakuwa wameshanyakuliwa na kubadilisha majina toka MA JOBLESS nakuwa PUBLIC SERVANTS
Utumishi wananipa stress sana aseeh Mungu atufanyie wepesiAhahaha utumishi watuajiri tu maana tuna uvumilivu sana sio kwa hii mistress
Itakuwa jambo jema ikiwa hivyo maana mtaani hali si shwari kwa majoblessWiki inayoanza kesho kutwa j3 placements zinakuwa kwa hewa so tuvute subira tu...... Kabla yq ijumaa mambo yatakuwa yamekwiva na miongozi mwetu hapa watakuwa wameshanyakuliwa na kubadilisha majina toka MA JOBLESS nakuwa PUBLIC SERVANTS
Aaahh wapi, sijawahi kuingia kwa Mkapa au Uhuru aisee tangu niingie mjini miaka 10 iliyopita. Nilikuwa naifuatilia kijiweni kwenye Luninga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh umeenda kutoa stress uwanjani
ππππNikawaza huyu jobless anaenda kwa mkapa amepata wapi hela hahhhhhAaahh wapi, sijawahi kuingia kwa Mkapa au Uhuru aisee tangu niingie mjini miaka 10 iliyopita. Nilikuwa naifuatilia kijiweni kwenye Luninga
Mwifa na wengine tujiandae na usaili naona sehemu ya matangazo ya usaili kupo empty muda wowote wataweka kutupia tangazo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikawaza huyu jobless anaenda kwa mkapa amepata wapi hela hahhhhh
Tuanze kusoma sasaMwifa na wengine tujiandae na usaili naona sehemu ya matangazo ya usaili kupo empty muda wowote wataweka kutupia tangazo
Kwa maana ya kwamba emptiness kwenye eneo la calls for interviews ni dalili njema ?Mwifa na wengine tujiandae na usaili naona sehemu ya matangazo ya usaili kupo empty muda wowote wataweka kutupia tangazo
Hahahhaaa, kuna baadhi ya huduma jobless anaishia kula macho tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikawaza huyu jobless anaenda kwa mkapa amepata wapi hela hahhhhh
Ngoja tusubiri kuanzia kesho mkuuMwifa na wengine tujiandae na usaili naona sehemu ya matangazo ya usaili kupo empty muda wowote wataweka kutupia tangazo
AhahahaππππNikawaza huyu jobless anaenda kwa mkapa amepata wapi hela hahhhhh
Yeah soon tu maana hapo hapamalizag muda kuwekwa jamboMwifa na wengine tujiandae na usaili naona sehemu ya matangazo ya usaili kupo empty muda wowote wataweka kutupia tangazo
Amina aisee hawa jamaa watatuua kwa strss mtaa mgumu sana dahUtumishi wananipa stress sana aseeh Mungu atufanyie wepesi
Amina aisee hawa jamaa watatuua kwa strss mtaa mgumu sana dah
Uhenda kuanzia j3 ya kesho tutaona mikekaAmina aisee hawa jamaa watatuua kwa strss mtaa mgumu sana dah
Ndiyo lazima yaaniUhenda kuanzia j3 ya kesho tutaona mikeka
Ijumaa hautofika bila kuona pdf za usaili na pdf za placements, kwa wale waliobahatika kufika hatua ya oralUhenda kuanzia j3 ya kesho tutaona mikeka
Hahahhaaa, kuna baadhi ya huduma jobless anaishia kula macho tu
Inshallah ikawe ya heri aseehIjumaa hautofika bila kuona pdf za usaili na pdf za placements, kwa wale waliobahatika kufika hatua ya oral
ππππKuna pisi yangu ilinitema kisa shekeri(mali za kaisari) niliona tu nikipiga simu nafokewa kama mtoto sijakaa vizuri akaolewa kabisa hahhhhHahaha, ikiwemo mahusiano na wadada warembo na akijichanganya alazimishe mambo, atapata msongo wa mawazo wa hali ya juu mpaka ajiuzulu mwenyewe bila kushurutishwa.
Daaah pole sana mwamba, mpambanaji mwenzetu ipo siku yako tu mambo yatakua bieeeee, wote waliokudharau watakusalimia kwa Heshima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna pisi yangu ilinitema kisa shekeri(mali za kaisari) niliona tu nikipiga simu nafokewa kama mtoto sijakaa vizuri akaolewa kabisa hahhhh
Dah pole sana man haya mambo ni mazito sanaππππKuna pisi yangu ilinitema kisa shekeri(mali za kaisari) niliona tu nikipiga simu nafokewa kama mtoto sijakaa vizuri akaolewa kabisa hahhhh