Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wiki inayoanza kesho kutwa j3 placements zinakuwa kwa hewa so tuvute subira tu...... Kabla yq ijumaa mambo yatakuwa yamekwiva na miongozi mwetu hapa watakuwa wameshanyakuliwa na kubadilisha majina toka MA JOBLESS nakuwa PUBLIC SERVANTS
Itakuwa jambo jema ikiwa hivyo maana mtaani hali si shwari kwa majobless
 
Hahahhaaa, kuna baadhi ya huduma jobless anaishia kula macho tu

Hahaha, ikiwemo mahusiano na wadada warembo na akijichanganya alazimishe mambo, atapata msongo wa mawazo wa hali ya juu mpaka ajiuzulu mwenyewe bila kushurutishwa.
 
Hahaha, ikiwemo mahusiano na wadada warembo na akijichanganya alazimishe mambo, atapata msongo wa mawazo wa hali ya juu mpaka ajiuzulu mwenyewe bila kushurutishwa.
😂😂😂😂Kuna pisi yangu ilinitema kisa shekeri(mali za kaisari) niliona tu nikipiga simu nafokewa kama mtoto sijakaa vizuri akaolewa kabisa hahhhh
 
Back
Top Bottom