HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Lakn ukiangalia security na admin wote prac wanapigaga linux sa sijajua kama mtu wa system admin anaweza pelekwa lets say database au business analyst
Securty n system admn zinaendana sidhn kama unaeza fit kweny database
 
Watoe hata placements basi tuijadili na kujifariji, mara paap mwezi unaisha, sio kama hivi ilivyo kimya
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Watoe tuanze kuwajadili hahhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ