Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikalime sasa kama hii ya leo ni interview za june hiyo September wataifikia leo kweli??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kweli unaweza kulima mahindi na ukavuna, placement ikiwa bado imefungiwa kabatini
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimeicheki nina imani haupo, maana imejaa Madereva, Social welfare, Record Assistants na Watu wa TARI
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hahhhh mkuu sipo pale naona ningesomaga hata sociology tu
 
Jobless mnapataje nguvu ya kuwa na makasiriko mkiangusha nyanya za watu mna ela ya kulipa?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kweli unaweza kulima mahindi na ukavuna, placement ikiwa bado imefungiwa kabatini
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Unalima na unavuna placement inakuwa bado tu
 
Ulichokiandika hapa ni pumba zisizomithilika.
 
Ulichokiandika hapa ni pumba zisizomithilika.
Sema ukiwaweka sawa unaonekana ni muchKnow.. Ila ukweli usiopingika kuwa tuna vijnawenzetu wengi humu mawazo Yao ni mgando.. So tunazidiana kimitizamo.. So tukiwekana sawa tusinununiane wakuu ndo maisha
 
Hata kama siko miongoni,lakini ni ujinga kuwatukana watu usiowajua humu eti kisa wako against na wewe.
Wote job seekers halafu mnaleteana mbwembwe za kishamba.
Mkuu Perry naona umekuja kwenye uzi huu, tupe abc za kutoboa UTUMISHI maana nakumbuka sana hustle zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…