Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikalime sasa kama hii ya leo ni interview za june hiyo September wataifikia leo kweli??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kweli unaweza kulima mahindi na ukavuna, placement ikiwa bado imefungiwa kabatini
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimeicheki nina imani haupo, maana imejaa Madereva, Social welfare, Record Assistants na Watu wa TARI
😂😂😂😂😂Hahhhh mkuu sipo pale naona ningesomaga hata sociology tu
 
Ndo maana Sina time nawe na hata mawazo yako kwakuwa ni mkurupukaji na hueliwi nini mtu anasema.. Ingelikuwa muelewa nadhan ungekuwa umefahamu ni nafasi zipi au mikeka ipi Nazungumzia.
Be patient kijana, maisha hayahitaji kisirani.
always najua ni kitu gani nafanya na Wala sibabaishwi na mtu.
Over
Jobless mnapataje nguvu ya kuwa na makasiriko mkiangusha nyanya za watu mna ela ya kulipa?
 
Pole kwa kutokuitwa.pale huwa wana culture yao ambayo huwezi kuwabadilisha.
Huko vyuo vingine wanapigishwa written kwanza lakini hawa wenyewe direct wanaanza na oral.nadhani umeona tofauti iliyopo.mwenye kisirani ni wewe unaeita watu mafala kisa wanakuambia ukweli.
Nikutakie kila la heri katika mapambano yako.
Ulichokiandika hapa ni pumba zisizomithilika.
 
Ulichokiandika hapa ni pumba zisizomithilika.
Sema ukiwaweka sawa unaonekana ni muchKnow.. Ila ukweli usiopingika kuwa tuna vijnawenzetu wengi humu mawazo Yao ni mgando.. So tunazidiana kimitizamo.. So tukiwekana sawa tusinununiane wakuu ndo maisha
 
Hata kama siko miongoni,lakini ni ujinga kuwatukana watu usiowajua humu eti kisa wako against na wewe.
Wote job seekers halafu mnaleteana mbwembwe za kishamba.
Mkuu Perry naona umekuja kwenye uzi huu, tupe abc za kutoboa UTUMISHI maana nakumbuka sana hustle zako
 
Back
Top Bottom