Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Haha Mkeka mrefu kiaje kama mchujo ulifanyika kwenh Written.

Halafu nafasi zenyewe ni moja moja kwa kila kada [emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]
Wanafanya kazi wakinywa juisi taratiiibu
No haraka sana in Afrika
 
Hawajajipanga utumishi bado hawawezi kurun zoezi la interview kwa haraka sababu kubwa ni uhaba wa nguvu kazi. Hiyo inatakiwa tàasisi kama NECTA
Mambo hayo yanaweza kuchochea upendeleo au rushwa au nadanganya ndugu zanguni
 
Kizungumkuti cha status hahaha....utumishi watatuua jobless [emoji1787]
Wakuu kuangalia status inasomekaje ni kukimbiza upepo tu.

Mimi nadhani status inasemaga kweli mwanzoni pindi umewekewa "Examination No" na labda pindi umevuka written kwenda oral "Selected for Oral Interview"

Zaidi ya hapo, ukweli kuwa ulifaulu oral interview au upo kanzidata husemwa na "placement"

Hii ni quick survey ya watu sita ambao wapo kwenye mrija wa asali zaidi ya mwaka na bado portal kunasoma "selected for oral interview"
 
Kabla yakuitwa kazini ilikuwa inasomekaje??hapo ndo kuna shida
Wakuu kuangalia status inasomekaje ni kukimbiza upepo tu.

Mimi nadhani status inasemaga kweli mwanzoni pindi umewekewa "Examination No" na labda pindi umevuka written kwenda oral "Selected for Oral Interview"

Zaidi ya hapo, ukweli kuwa ulifaulu oral interview au upo kanzidata husemwa na "placement"

Hii ni quick survey ya watu sita ambao wapo kwenye mrija wa asali zaidi ya mwaka na bado portal kunasoma "selected for oral interview"
 
Watakua wametenda ulumbi wa kimedani, kwa kuniondolea hali ya mtanziko (mazingira mwanambiji).
Huku wakiniacha na furaha bojobojo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sawa mlumbi mwenzangu
 
Back
Top Bottom