Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu kuangalia status inasomekaje ni kukimbiza upepo tu.

Mimi nadhani status inasemaga kweli mwanzoni pindi umewekewa "Examination No" na labda pindi umevuka written kwenda oral "Selected for Oral Interview"

Zaidi ya hapo, ukweli kuwa ulifaulu oral interview au upo kanzidata husemwa na "placement"

Hii ni quick survey ya watu sita ambao wapo kwenye mrija wa asali zaidi ya mwaka na bado portal kunasoma "selected for oral interview"
Kwenye Ile app ya ajira portal status inasoma selected for Oral Ila ikiingia kupitia Google status imeandikwa shortlisted hapo ndo inakuwa inachanganya sana
 
Wakuu kuangalia status inasomekaje ni kukimbiza upepo tu.

Mimi nadhani status inasemaga kweli mwanzoni pindi umewekewa "Examination No" na labda pindi umevuka written kwenda oral "Selected for Oral Interview"

Zaidi ya hapo, ukweli kuwa ulifaulu oral interview au upo kanzidata husemwa na "placement"

Hii ni quick survey ya watu sita ambao wapo kwenye mrija wa asali zaidi ya mwaka na bado portal kunasoma "selected for oral interview"
Kweli hzi status hazina ishu pdf ndo kila kitu
 
Wakuu kuangalia status inasomekaje ni kukimbiza upepo tu.

Mimi nadhani status inasemaga kweli mwanzoni pindi umewekewa "Examination No" na labda pindi umevuka written kwenda oral "Selected for Oral Interview"

Zaidi ya hapo, ukweli kuwa ulifaulu oral interview au upo kanzidata husemwa na "placement"

Hii ni quick survey ya watu sita ambao wapo kwenye mrija wa asali zaidi ya mwaka na bado portal kunasoma "selected for oral interview"
Nilikuwa naandaa hitimisho la hili jambo(status ya application) naona tayari umetupia. Uko sahihi, naunga mkono hoja.

Ukishafika oral, jibu sahihi pekee ni Placements tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kalyanda unaambiwa ni kampuni ya vifaa vya electronic
Haikuwa na mtaji wa electronics na sasa ishavuna huo mtaji, huenda ikarudi kwenye hiyo kazi iliyosajili kwa jina lingine.

Hata hivyo ukizoea kunyonga, hutaweza kuchinja maana kuchinja utakuwa unajipotezea muda.

Imagine Kalyanda imepiga show kwa miezi 3, ikavuna na kuyeyuka kiwendawazimu na savers zake[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kalyanda unaambiwa ni kampuni ya vifaa vya electronic
Ule msemo wa "Tumia masaa 12 kunoa shoka ili uje ukate mbuyu kwa masaa 2" ndio Kalyanda imeishi hapo.

Majamaa yalibuni project, yakatengeneza website na App, humo ndani wakaweka namna ya kukanda watu pesa na wasiweze kupata access ya kuzitoa na wao pekee ndio waweze kuzitoa. Hilo lilipokamilika ikafuata hatua ya kusajili kampuni kwa biashara fake(electronics ingawa ni online, kwa kuwa Brela nao wamejaa mate kama fisi, wakawasajili na kutupia laki 2 kibindoni).

Hatua ya mwisho ni mavuno ikisindikizwa na utangazaji, uhamasishaji ili watu waelekee kibla.

Kwa hiyo ukiangalia hiyo series ya matukio, project imechukua muda mrefu, faida imepatiana kwa muda mfupi.

Vipi jobless na sisi tujitose tukavune kwa wapenda mserereko?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tutafute fedha halali Mungu atatubariki zaidi
 
😂😂😂😂😂Tukapige hela za jobless wenzetu hahhh
 
Back
Top Bottom