Kama Kalynda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanayeyuka na kanzi data hahhhh
😂😂😂😂Kalyanda unaambiwa ni kampuni ya vifaa vya electronicKama Kalynda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye Ile app ya ajira portal status inasoma selected for Oral Ila ikiingia kupitia Google status imeandikwa shortlisted hapo ndo inakuwa inachanganya sanaWakuu kuangalia status inasomekaje ni kukimbiza upepo tu.
Mimi nadhani status inasemaga kweli mwanzoni pindi umewekewa "Examination No" na labda pindi umevuka written kwenda oral "Selected for Oral Interview"
Zaidi ya hapo, ukweli kuwa ulifaulu oral interview au upo kanzidata husemwa na "placement"
Hii ni quick survey ya watu sita ambao wapo kwenye mrija wa asali zaidi ya mwaka na bado portal kunasoma "selected for oral interview"
Mchawi PDF tu hizi nyingine mbwembwe tu.Kwenye Ile app ya ajira portal status inasoma selected for Oral Ila ikiingia kupitia Google status imeandikwa shortlisted hapo ndo inakuwa inachanganya sana
duuuhKwenye Ile app ya ajira portal status inasoma selected for Oral Ila ikiingia kupitia Google status imeandikwa shortlisted hapo ndo inakuwa inachanganya sana
Kweli hzi status hazina ishu pdf ndo kila kituWakuu kuangalia status inasomekaje ni kukimbiza upepo tu.
Mimi nadhani status inasemaga kweli mwanzoni pindi umewekewa "Examination No" na labda pindi umevuka written kwenda oral "Selected for Oral Interview"
Zaidi ya hapo, ukweli kuwa ulifaulu oral interview au upo kanzidata husemwa na "placement"
Hii ni quick survey ya watu sita ambao wapo kwenye mrija wa asali zaidi ya mwaka na bado portal kunasoma "selected for oral interview"
ExactlyKweli hzi status hazina ishu pdf ndo kila kitu
Kweli huku tunatapa tapa tu🤣Mchawi PDF tu hizi nyingine mbwembwe tu.
Nilikuwa naandaa hitimisho la hili jambo(status ya application) naona tayari umetupia. Uko sahihi, naunga mkono hoja.Wakuu kuangalia status inasomekaje ni kukimbiza upepo tu.
Mimi nadhani status inasemaga kweli mwanzoni pindi umewekewa "Examination No" na labda pindi umevuka written kwenda oral "Selected for Oral Interview"
Zaidi ya hapo, ukweli kuwa ulifaulu oral interview au upo kanzidata husemwa na "placement"
Hii ni quick survey ya watu sita ambao wapo kwenye mrija wa asali zaidi ya mwaka na bado portal kunasoma "selected for oral interview"
Haikuwa na mtaji wa electronics na sasa ishavuna huo mtaji, huenda ikarudi kwenye hiyo kazi iliyosajili kwa jina lingine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kalyanda unaambiwa ni kampuni ya vifaa vya electronic
Ule msemo wa "Tumia masaa 12 kunoa shoka ili uje ukate mbuyu kwa masaa 2" ndio Kalyanda imeishi hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kalyanda unaambiwa ni kampuni ya vifaa vya electronic
Tutafute fedha halali Mungu atatubariki zaidiUle msemo wa "Tumia masaa 12 kunoa shoka ili uje ukate mbuyu kwa masaa 2" ndio Kalyanda imeishi hapo.
Majamaa yalibuni project, yakatengeneza website na App, humo ndani wakaweka namna ya kukanda watu pesa na wasiweze kupata access ya kuzitoa na wao pekee ndio waweze kuzitoa. Hilo lilipokamilika ikafuata hatua ya kusajili kampuni kwa biashara fake(electronics ingawa ni online, kwa kuwa Brela nao wamejaa mate kama fisi, wakawasajili na kutupia laki 2 kibindoni).
Hatua ya mwisho ni mavuno ikisindikizwa na utangazaji, uhamasishaji ili watu waelekee kibla.
Kwa hiyo ukiangalia hiyo series ya matukio, project imechukua muda mrefu, faida imepatiana kwa muda mfupi.
Vipi jobless na sisi tujitose tukavune kwa wapenda mserereko?[emoji3][emoji3][emoji3]
Kabisa hizi shortcut sio nzuriTutafute fedha halali Mungu atatubariki zaidi
Hawatabiriki hawa mpandisha mikeka muda wwte anapandisha mzigo lets hope soonHapa mikeka ni mpaka next week tena. Wikiendi tayari ishaingia
Jua lishazama tusubirie wiki keshoHapa mikeka ni mpaka next week tena. Wikiendi tayari ishaingia
😂😂😂😂😂Tukapige hela za jobless wenzetu hahhhUle msemo wa "Tumia masaa 12 kunoa shoka ili uje ukate mbuyu kwa masaa 2" ndio Kalyanda imeishi hapo.
Majamaa yalibuni project, yakatengeneza website na App, humo ndani wakaweka namna ya kukanda watu pesa na wasiweze kupata access ya kuzitoa na wao pekee ndio waweze kuzitoa. Hilo lilipokamilika ikafuata hatua ya kusajili kampuni kwa biashara fake(electronics ingawa ni online, kwa kuwa Brela nao wamejaa mate kama fisi, wakawasajili na kutupia laki 2 kibindoni).
Hatua ya mwisho ni mavuno ikisindikizwa na utangazaji, uhamasishaji ili watu waelekee kibla.
Kwa hiyo ukiangalia hiyo series ya matukio, project imechukua muda mrefu, faida imepatiana kwa muda mfupi.
Vipi jobless na sisi tujitose tukavune kwa wapenda mserereko?[emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa jamaa ni any time t wanabadili utaratobuHawatabiriki hawa mpandisha mikeka muda wwte anapandisha mzigo lets hope soon