Kuwapata mpaka siku za kazi na saa za kazi tena kwa mbindeVip nikiwacheki wanaweza weka sawa? sure other attachment niliweka referee wa 2 badala ya wa3 vip nikiwachek wata ni add
Vip wewe baada ya hayo yote walikuita?
Nawasiliana nao vip kwa simu (hazipatikani)
Kuna email spercial?
Kagera au kigoma 🤣 🤣 🤣Hahaha labda kwenu kuwe Dar unatokomea mtaani unapiga kimya shida kama kwenu Mbeya yaani 😂 😂
***** ndo utasikia mtu anasema hataki tena usajiri wa utumishiKagera au kigoma ***** 🤣 🤣 🤣
Hatar sana mzee***** ndo utasikia mtu anasema hataki tena usajiri wa utumishi
Pole kaka utumishi wanajua wakifanya hivyo watu wengi hawatofanya so wanapunguza watu pia kimtindoIct wametunyoosha kaka writen dom prac na oral dsm
Acha t mzee watatuua hawa jamaa utumishiIct wametunyoosha kaka writen dom prac na oral dsm
Sidhani kama wanaweza kukuadd hiyo ndo inakuwa imeshatoka, mimi baada ya kurekebisha nilitakiwa kheri kwenye interviews zijazo tu, ukitaka kucontact nao kabla ya kulog in kwenye account yako ukibonyeza pale juu kwenye menu kama unataka kulog in chini kabisa wamekuandikia feedback pale ndo utawaambia tatizo lako. So you can try kuwaambia tatizo lako mkuu, ila navyojuwa mimi wakisha kutoa kisa Kuna upungufu fulani ujuwe ndo imekula kwako we rekebisha then jiandae na interviews zijazo.Vip nikiwacheki wanaweza weka sawa? sure other attachment niliweka referee wa 2 badala ya wa3 vip nikiwachek wata ni add
Vip wewe baada ya hayo yote walikuita?
Nawasiliana nao vip kwa simu (hazipatikani)
Kuna email spercial?
Watapata tu sema zile za bei ya chini ndo watazikosa wanaochelewa kwendaDodoma kunaenda kufurika kwa huu mkeka wa NAOT na kwa wale wageni inabidi wawahi maana hata vyumba itakuwa shida pand zile
Watapata tu sema zile za bei ya chini ndo watazikosa wanaochelewa kwenda
Bei ya chini 10000,15000 kuna sehemu 7000 lakini sijawahi kwenda hizoHivi bei ya juu zinaweza anzia bei gani pale na bei ya chini zainakuwaga bei gani mkuu ?
Bei ya chini 10000,15000 kuna sehemu 7000 lakini sijawahi kwenda hizoHivi bei ya juu zinaweza anzia bei gani pale na bei ya chini zainakuwaga bei gani mkuu ?
Bei za juu je bei gani ? Vipi kule maeneo ya Makulu bei zake zipoje ?Bei ya chini 10000,15000 kuna sehemu 7000 lakini sijawahi kwenda hizo
Makulu Kuna 15000,20000,25000 mpaka 40000 lakini za chini ya hapo zipo mpaka ukiziwahi mapema za juu sasa inategemeana mzee au unataka Morena??bei ya chini pale nasikia ni 70000Bei za juu je bei gani ? Vipi kule maeneo ya Makulu bei zake zipoje ?
Tatizo lipo kwenye referee haukuweka watatu,maybe uadd wafike watatu afu uapload CV upya then uwacall but kama walisha download wanaweza kukuzingua.Vip nikiwacheki wanaweza weka sawa? sure other attachment niliweka referee wa 2 badala ya wa3 vip nikiwachek wata ni add
Vip wewe baada ya hayo yote walikuita?
Nawasiliana nao vip kwa simu (hazipatikani)
Kuna email spercial?
Ngumu sana hapo kukuadd kwasababu hukufuata maelekezo yao yakuweka referee watatuVip nikiwacheki wanaweza weka sawa? sure other attachment niliweka referee wa 2 badala ya wa3 vip nikiwachek wata ni add
Vip wewe baada ya hayo yote walikuita?
Nawasiliana nao vip kwa simu (hazipatikani)
Kuna email spercial?
Poa poa mkuu, SHUKRANI 🙏Makulu Kuna 15000,20000,25000 mpaka 40000 lakini za chini ya hapo zipo mpaka ukiziwahi mapema za juu sasa inategemeana mzee au unataka Morena??bei ya chini pale nasikia ni 70000
Unaweza upload but huwezi pata kazi yoyote iliyokwishaweka shortlists so itakuwa kwa nafasi zijazo na hii si kwa ishu ya CV tu yaani sababu yoyote watakayokupa na ikathibitika kwamba ni kweli ulikuwa na mapungufu ujue ndo imeisha hiyo so jiandae na nafasi zijazo.Na je unaweza upload ata kama mda wa kazi uliisha?