Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Vip nikiwacheki wanaweza weka sawa? sure other attachment niliweka referee wa 2 badala ya wa3 vip nikiwachek wata ni add

Vip wewe baada ya hayo yote walikuita?

Nawasiliana nao vip kwa simu (hazipatikani)

Kuna email spercial?
Kuwapata mpaka siku za kazi na saa za kazi tena kwa mbinde
 
Vip nikiwacheki wanaweza weka sawa? sure other attachment niliweka referee wa 2 badala ya wa3 vip nikiwachek wata ni add

Vip wewe baada ya hayo yote walikuita?

Nawasiliana nao vip kwa simu (hazipatikani)

Kuna email spercial?
Sidhani kama wanaweza kukuadd hiyo ndo inakuwa imeshatoka, mimi baada ya kurekebisha nilitakiwa kheri kwenye interviews zijazo tu, ukitaka kucontact nao kabla ya kulog in kwenye account yako ukibonyeza pale juu kwenye menu kama unataka kulog in chini kabisa wamekuandikia feedback pale ndo utawaambia tatizo lako. So you can try kuwaambia tatizo lako mkuu, ila navyojuwa mimi wakisha kutoa kisa Kuna upungufu fulani ujuwe ndo imekula kwako we rekebisha then jiandae na interviews zijazo.
 
Dodoma kunaenda kufurika kwa huu mkeka wa NAOT na kwa wale wageni inabidi wawahi maana hata vyumba itakuwa shida pand zile
Watapata tu sema zile za bei ya chini ndo watazikosa wanaochelewa kwenda
 
Bei za juu je bei gani ? Vipi kule maeneo ya Makulu bei zake zipoje ?
Makulu Kuna 15000,20000,25000 mpaka 40000 lakini za chini ya hapo zipo mpaka ukiziwahi mapema za juu sasa inategemeana mzee au unataka Morena??bei ya chini pale nasikia ni 70000
 
Vip nikiwacheki wanaweza weka sawa? sure other attachment niliweka referee wa 2 badala ya wa3 vip nikiwachek wata ni add

Vip wewe baada ya hayo yote walikuita?

Nawasiliana nao vip kwa simu (hazipatikani)

Kuna email spercial?
Tatizo lipo kwenye referee haukuweka watatu,maybe uadd wafike watatu afu uapload CV upya then uwacall but kama walisha download wanaweza kukuzingua.
 
Vip nikiwacheki wanaweza weka sawa? sure other attachment niliweka referee wa 2 badala ya wa3 vip nikiwachek wata ni add

Vip wewe baada ya hayo yote walikuita?

Nawasiliana nao vip kwa simu (hazipatikani)

Kuna email spercial?
Ngumu sana hapo kukuadd kwasababu hukufuata maelekezo yao yakuweka referee watatu
 
Makulu Kuna 15000,20000,25000 mpaka 40000 lakini za chini ya hapo zipo mpaka ukiziwahi mapema za juu sasa inategemeana mzee au unataka Morena??bei ya chini pale nasikia ni 70000
Poa poa mkuu, SHUKRANI 🙏
 
Na je unaweza upload ata kama mda wa kazi uliisha?
Unaweza upload but huwezi pata kazi yoyote iliyokwishaweka shortlists so itakuwa kwa nafasi zijazo na hii si kwa ishu ya CV tu yaani sababu yoyote watakayokupa na ikathibitika kwamba ni kweli ulikuwa na mapungufu ujue ndo imeisha hiyo so jiandae na nafasi zijazo.
 
Back
Top Bottom