Wazo zuri ila PSRS inaonekana bado hawajajipanga kutoa huduma kwa wigo huo mpanaHawa utumishi wange weka zone
Mfano dar:- watu wanaotoka mtwara,lindi, wanakuja dar kupiga pepa,wengine huko mbeya,Iringa,ruvuma wanakutana Dodoma.
Mwanza,geita,shinyanga wanakutana tabora hapo.
Au mnaonaje hilo waungwana?
Mnaoishi Dar, hampati shida ila wa mikoa mingine ni shida tupuYaani ratiba yetu ICT security tunafanya written Dodoma alafu prac Dar tunamalizia oral Dodoma
Information system auditor tunafanya written Dodoma alafu prac na oral tunamalizia Dar [emoji23]
Hapo ulipoweka refarii 2, edit weka wawe 3, halafu watafute waambie mbona mambo yako sawa.Vip nikiwacheki wanaweza weka sawa? sure other attachment niliweka referee wa 2 badala ya wa3 vip nikiwachek wata ni add
Vip wewe baada ya hayo yote walikuita?
Nawasiliana nao vip kwa simu (hazipatikani)
Kuna email spercial?
Ahsante mkuuMkuu hongera
Ahsante mkuu ngoja nikapambane tenaHongera Sana mwifwa pambana bro na Mungu awasimamie wote humu mtoboe
Daaah, mnanipa moyo sana[emoji3][emoji3][emoji3]Utatoboa huu mwaka ni wetu
Tumeitwa 150+Nafasi moja applicants mpo wangapi?
Nenda tu Bora uende ukose,kuliko usiende ubaki unajilaumu na umeusubiri nafasi muda mrefu sanaDaaah, mnanipa moyo sana[emoji3][emoji3][emoji3]
Nafasi yenyewe moja, zimeitwa vichwa 150+
Na kwakua ni muda mrefu kidogo umepita ukute hata uhitaji nao umeongezeka kwenye idadi ya wanaohitajikaNenda tu Bora uende ukose,kuliko usiende ubaki unajilaumu na umeusubiri nafasi muda mrefu sana
Nenda kiongozi huwezi jua ya MunguTumeitwa 150+
Sasa hivi Kampeni yetu ya kwanza ni kutoboa oralTumeitwa 150+
Oya brother ,mmi nimeitwa kwenye usahili ,ila kote kwenye Mchumi na Mtakwimu nipo na muda wa kwenda kwenye mitihani kote ni ule ule saa nne.Mimi nimeamua kwenda kwenye Mtakwimu ,mana Kule Kwa Mchumi Kuna nyomi la Wana kama 1500+Jana mambo yalikuwa tight kijiweni, sikuweza kuperuzi humu kuanzia saa 12 jioni hadi saa 6 usiku, ila ilipofika hiyo saa 6 nilichungulia nikakuta hizi news.
Sasa tumepewa agenda ya kuzungumza kwa huu mwezi, PSRS nao wanapumua kusemwa semwa[emoji3][emoji3][emoji3]
Hata usipoenda zote hao jamaa hawana hasara kufanya interview sio lazima ni hiari chagua moja kufa nayoOya brother ,mmi nimeitwa kwenye usahili ,ila kote kwenye Mchumi na Mtakwimu nipo na muda wa kwenda kwenye mitihani kote ni ule ule saa nne.Mimi nimeamua kwenda kwenye Mtakwimu ,mana Kule Kwa Mchumi Kuna nyomi la Wana kama 1500+
Sasa nikikosa kwenda hiyo ya Mchumi nitakuwa nimezingua ? Au inabidi niwaambie ukweli Kule Kule, kuwa nimeshindwa kujigawa?
Me nilifanyaga self microfinance fundWakuu hivi wale waliofanya written ya self microfinance fund, walitoa mambo yanayohusiana na nini?
Maana hii loan officer HESLB sijui nijifue areas zp?
Duuuh hatari kwani takwimu mnahitajika wangp!? Hawa jamaa Hawa maana sisi wachumi tusome na takwimu tena [emoji848][emoji848][emoji848]Oya brother ,mmi nimeitwa kwenye usahili ,ila kote kwenye Mchumi na Mtakwimu nipo na muda wa kwenda kwenye mitihani kote ni ule ule saa nne.Mimi nimeamua kwenda kwenye Mtakwimu ,mana Kule Kwa Mchumi Kuna nyomi la Wana kama 1500+
Sasa nikikosa kwenda hiyo ya Mchumi nitakuwa nimezingua ? Au inabidi niwaambie ukweli Kule Kule, kuwa nimeshindwa kujigawa?
Poa poa,nitafanya hivyo...Hata usipoenda zote hao jamaa hawana hasara kufanya interview sio lazima ni hiari chagua moja kufa nayo
Usicho kijua ni kwamba ,mtu anayesoma Statistics (Takwimu) anaweza fanya kazi za Mchumi vizuri tuu .Kwani karibia Kila kitu kwenye economic anasoma .Si kwenye Mchumi tuu hata data analyst ,Bank na sehemu nyingi tuu Mtakwimu ana fit vyema kabisa.Duuuh hatari kwani takwimu mnahitajika wangp!? Hawa jamaa Hawa maana sisi wachumi tusome na takwimu tena [emoji848][emoji848][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Pale HESLB nafasi ya LOAN OFFICER II wameita watu elfu 5 na usheee hivyo wamepanga watu kwa mafungu kutokana na series namba . Ila kwa bahati mbaya SN 3901 - 4300 kwenye pdf ya kuitwa kwa usaili majina yao hayapo sana sana baadhi ya majina ya herufi M yale ya mwisho mwisho na herufi P yale ya mwanzo kama paulo n.k pia n aherufi N na O wote mfano Omari, Nasibu nk . Hivyo kama una mtu hajaona jina kwa mkeka aingie kwa akaunt yake ataona hukoPoa poa,nitafanya hivyo...
hapo unaweza kuairisha kwenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakutana na pepa hiyo haiangaliki na passmark ya 70