Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yaani ratiba yetu ICT security tunafanya written Dodoma alafu prac Dar tunamalizia oral Dodoma

Information system auditor tunafanya written Dodoma alafu prac na oral tunamalizia Dar [emoji23]
Mnaoishi Dar, hampati shida ila wa mikoa mingine ni shida tupu
 
Vip nikiwacheki wanaweza weka sawa? sure other attachment niliweka referee wa 2 badala ya wa3 vip nikiwachek wata ni add

Vip wewe baada ya hayo yote walikuita?

Nawasiliana nao vip kwa simu (hazipatikani)

Kuna email spercial?
Hapo ulipoweka refarii 2, edit weka wawe 3, halafu watafute waambie mbona mambo yako sawa.

Usiwatafute kabla hujarekebisha hayo makosa, watakuangushia nyundo zaidi
 
Wakuu hivi wale waliofanya written ya self microfinance fund, walitoa mambo yanayohusiana na nini?

Maana hii loan officer HESLB sijui nijifue areas zp?
 
Jana mambo yalikuwa tight kijiweni, sikuweza kuperuzi humu kuanzia saa 12 jioni hadi saa 6 usiku, ila ilipofika hiyo saa 6 nilichungulia nikakuta hizi news.

Sasa tumepewa agenda ya kuzungumza kwa huu mwezi, PSRS nao wanapumua kusemwa semwa[emoji3][emoji3][emoji3]
Oya brother ,mmi nimeitwa kwenye usahili ,ila kote kwenye Mchumi na Mtakwimu nipo na muda wa kwenda kwenye mitihani kote ni ule ule saa nne.Mimi nimeamua kwenda kwenye Mtakwimu ,mana Kule Kwa Mchumi Kuna nyomi la Wana kama 1500+

Sasa nikikosa kwenda hiyo ya Mchumi nitakuwa nimezingua ? Au inabidi niwaambie ukweli Kule Kule, kuwa nimeshindwa kujigawa?
 
Hata usipoenda zote hao jamaa hawana hasara kufanya interview sio lazima ni hiari chagua moja kufa nayo
 
Oya brother ,mmi nimeitwa kwenye usahili ,ila kote kwenye Mchumi na Mtakwimu nipo na muda wa kwenda kwenye mitihani kote ni ule ule saa nne.Mimi nimeamua kwenda kwenye Mtakwimu ,mana Kule Kwa Mchumi Kuna nyomi la Wana kama 1500+

Sasa nikikosa kwenda hiyo ya Mchumi nitakuwa nimezingua ? Au inabidi niwaambie ukweli Kule Kule, kuwa nimeshindwa kujigawa?
Duuuh hatari kwani takwimu mnahitajika wangp!? Hawa jamaa Hawa maana sisi wachumi tusome na takwimu tena [emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Duuuh hatari kwani takwimu mnahitajika wangp!? Hawa jamaa Hawa maana sisi wachumi tusome na takwimu tena [emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Usicho kijua ni kwamba ,mtu anayesoma Statistics (Takwimu) anaweza fanya kazi za Mchumi vizuri tuu .Kwani karibia Kila kitu kwenye economic anasoma .Si kwenye Mchumi tuu hata data analyst ,Bank na sehemu nyingi tuu Mtakwimu ana fit vyema kabisa.
Kwa Mtakwimu wapo karibia mia 800+
 
Poa poa,nitafanya hivyo...
Pale HESLB nafasi ya LOAN OFFICER II wameita watu elfu 5 na usheee hivyo wamepanga watu kwa mafungu kutokana na series namba . Ila kwa bahati mbaya SN 3901 - 4300 kwenye pdf ya kuitwa kwa usaili majina yao hayapo sana sana baadhi ya majina ya herufi M yale ya mwisho mwisho na herufi P yale ya mwanzo kama paulo n.k pia n aherufi N na O wote mfano Omari, Nasibu nk . Hivyo kama una mtu hajaona jina kwa mkeka aingie kwa akaunt yake ataona huko

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom