Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yaani ratiba yetu ICT security tunafanya written Dodoma alafu prac Dar tunamalizia oral Dodoma

Information system auditor tunafanya written Dodoma alafu prac na oral tunamalizia Dar [emoji23]
hahahaa yani mnakula tour ya nguvu
 
Ok
 
Makulu Kuna 15000,20000,25000 mpaka 40000 lakini za chini ya hapo zipo mpaka ukiziwahi mapema za juu sasa inategemeana mzee au unataka Morena??bei ya chini pale nasikia ni 70000
Morena kwa wakishua pale sis wakopa nauli za kwenda Dom hapatufai sisi kwetu ni Mabula na znazofanana na hiyo
 
Sawasawa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama eneo la usaili ni Moja unawaambia tu watakuruhusu kufanya zote utawekwa mwanzoni na mwishoni
 
Nenda tu Bora uende ukose,kuliko usiende ubaki unajilaumu na umeusubiri nafasi muda mrefu sana
Nitaenda mkuu, tuombe uzima.

Itakuwa written yangu ya 4, sijui mwisho wake utakuwaje(kukandwa au kukanda). Zilizopita nilikandwa haswa
 
Pale utumishi hakuna mtu ana muda wa kutaka kujua kama ulienda au hukwenda kwenye usaili,so wewe chagua tu unayoitaka mwenyewe.
 
Mkuu hongera sana kwa kuitwa katika kupambania hizo nafasi.

Tambua kuwa ukiitwa sio lazima uende, usipoenda unawarahisishia kazi maana utawapunguzia mzigo.

Sasa wewe kati ya hizo nafasi, angalie ambayo unaona unaweza kutoboa ukaifanye
 
Mkuu hongera sana kwa kuitwa katika kupambania hizo nafasi.

Tambua kuwa ukiitwa sio lazima uende, usipoenda unawarahisishia kazi maana utawapunguzia mzigo.

Sasa wewe kati ya hizo nafasi, angalie ambayo unaona unaweza kutoboa ukaifanye
Asante sana mlumbi.Nitachagua Moja ni pambane nayo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asaivi uhakika lazima utoboe oral mzee maombi muhimu sana
Bado giza mkuu, sijui nisome wapi..

Hii nafasi ni mambo ya ukaguzi.

Sijui nijisomee mambo ya ukaguzi au wadudu[emoji134][emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…