Ditex
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 284
- 887
Ufaulu written, afu oral pia uwe na walau 50%Hivi kuingia kwenye kanzi data unabidi ufanye maajabu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufaulu written, afu oral pia uwe na walau 50%Hivi kuingia kwenye kanzi data unabidi ufanye maajabu gani?
Nimekupa , asante sana.Ufaulu written, afu oral pia uwe na walau 50%
Umewahi kutana na maswalo yamerudiwa🤣🤣 mda wa Mkando vipi mkuu mfano wakikuletea maswali waliyotoa written ulizofanya utaweza kuyajibu au baada ya kutoka kwenye Pepa na maswali uliyaacha hapo hapo anzia hapo kwanza mkuu
Sasa ambao hawapo kwenye Pdf watajuaje kuwa wamepangiwa room gn kwaajili ya interview?
Sasa ambao hawapo kwenye Pdf watajuaje kuwa wamepangiwa room gn kwaajili ya interview?Pale HESLB nafasi ya LOAN OFFICER II wameita watu elfu 5 na usheee hivyo wamepanga watu kwa mafungu kutokana na series namba . Ila kwa bahati mbaya SN 3901 - 4300 kwenye pdf ya kuitwa kwa usaili majina yao hayapo sana sana baadhi ya majina ya herufi M yale ya mwisho mwisho na herufi P yale ya mwanzo kama paulo n.k pia n aherufi N na O wote mfano Omari, Nasibu nk . Hivyo kama una mtu hajaona jina kwa mkeka aingie kwa akaunt yake ataona huko
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wasiliana nao mkuuSasa ambao hawapo kwenye Pdf watajuaje kuwa wamepangiwa room gn kwaajili ya interview?
Maana naona zimepangwa kulingana na serial number, na serial number zipo kwenye pdf
Umeangalia kwenye account yako hujaona chchote?Sasa ambao hawapo kwenye Pdf watajuaje kuwa wamepangiwa room gn kwaajili ya interview?
Maana naona zimepangwa kulingana na serial number, na serial number zipo kwenye pdf
Kwenye Account ni shortlisted. Halafu kwa chini yake kuna view timetable, of which haifunguki kwa simu.Nataka enda Internet cafe kuangalia ratiba maana kwa simu haifunguki.Maana sijui ni room ipi natakiwa ingia ni jina la herufi P huko ambao hawapo ktk serials kwenye pdfUmeangalia kwenye account yako hujaona chchote?
Download app yao itafungukaKwenye Account ni shortlisted. Halafu kwa chini yake kuna view timetable, of which haifunguki kwa simu.Nataka enda Internet cafe kuangalia ratiba maana kwa simu haifunguki.Maana sijui ni room ipi natakiwa ingia ni jina la herufi P huko ambao hawapo ktk serials kwenye pdf
Sawa,asanteDownload app yao itafunguka
Kwahiyo hizi serial number za mwanzo kabisa ndo zinazotumika kujua unaingia room ipi si ndiyo mkuu?Download app yao itafunguka
Nimeitwa aisee, ngoja nikakamilishe ratiba ya mwaka huu, mikando non stop.
Hadi sasa PSRS wana clean sheet dhidi yangu halafu huu wa NAOT sina muongozo wowote, itakuwa vituko huko
Kwahiyo hizi serial number za mwanzo kabisa ndo zinazotumika kujua unaingia room ipi si ndiyo mkuu?
Nipo mkuu, nimeitwa.
Watu 150+, nafasi 1.
All the best wote mnaooenda kwenye enterview,mie yangu bado
Upo sawa kabisa mkuu ya kufundishia ni nyepesi sana kuliko hizi zingine utapigwa maswali mpka ushangae useme jamani na hili swali linaruhusiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahsante mkuu, tuombeane japo nionje hata oral ya kwanzaMkuu, nilikuwa nasubiri sana kuona hili jibu lako.
Kila la kheri Mkuu.
Hv kujieleza na education background ni swali ambalo unapata marks au Lipo tu kwa ajili ya kukutambua?then unagongwa maswali husikaKawaida mie oral nimekutana na maswali mawili yamejirudia la presentation vile vile na advantage ya technology kwenye elimu au kwenye kufundishia so mpka hapo nakua nimebaki na kujieleza education background ambayo najua ni lazima so hapo kwa mahesabu nakua nimepata maswali matatu yote oral so nabaki na maswali mawili moja Toka kwenye nilichopresent ambalo ni asilimia 80 ya kulipata na jingine kuhusu kazi so hata wakiniuliza job description najibu tu so kwa mahesabu nakua nimejibu maswali yote kwa uhakika Sasa hapo no wao wanipe kazi au waninyime kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Noma sana, mtie moyo tukashirikiane kuwakanda kama si kukandwa[emoji3][emoji3]Kuna balaa Mkuu, lakini sio la kulikatia tamaa. Mdogo wangu ameitwa kwenye nafasi 37 watu 5152.
Ahsante mkuu, tuombeane japo nionje hata oral ya kwanza